digital privacy 2023

  1. The Sheriff

    Serikali na Matumizi ya Programu za Udukuzi na Upelelezi: Ongezeko la Tishio kwa Ulinzi wa Faragha na Haki za Binadamu

    Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
  2. N

    M-Pawa wanatoza riba kubwa na wanasumbua kwa SMS zao

    Hawa M-pawa wanakushawishi ukope. Kabla hawajakutumia hela uliyomba kukopa, wanakata riba yao kabisa. Kwa hiyo, kama ulifikia kiwango cha kukopeshwa 100,000/- kwa mfano, utaishia kupata kwenye 80,000/- ikiwa ni kwamba wamechukua 20,000/- upfront kwa mkopo wa siku 30. Kiwango cha riba hiki ni...
  3. R

    Wanawake wagundua kamera zilizofichwa bafuni katika nyumba ya kupangisha kwa muda (Airbnb)

    Marafiki hao 15 walipanga nyumba huyo kwa ajili mapumziko British Colombia, ndipo usiku mmoja wa mapumziko wao waligundua kulikuwa na camera zilizokuwa zimefichwa kwenye soketi ya umeme zikiwa zimeelekezwa bafuni. Mmoja wa marafiki hao aliona video kutoka mtandao wa Tiktok ikiongelea kuhusu...
Back
Top Bottom