digital safety

  1. W

    Google na AI Chatbox washtakiwa kwa Kusababisha mtoto kujiua

    Megan Garcia ameshtaki Google na kampuni ya akili Mnemba inayohusika na "Chatbot" kwa madai ya kuhusika katika kifo cha mwanaye Sewell Setzer (14) Inadaiwa Sewell alikuwa akiwasiliana kimapenzi na programu ya "Chatbot" akitumia mhusika wa "Game of Thrones" Daenerys Targaryen, ambapo baadae...
  2. W

    Chukua Hii: Mitandao ya Kijamii inatuunganisha, ila kuwa makini unapoitumia

    Taarifa unazoweka mitandaoni haziwezi kusahaulika, hata kama umeamua kuzifuta. Hivyo, ni muhimu kuwa makini na jinsi unavyotumia mitandao ya kijamii. Kumbuka kuwa taarifa unazochapisha zinaweza kutumiwa kuiba utambulisho wako, kufanya ulaghai, au hata kudukuliwa na kuishia mikononi mwa watu...
  3. The Sheriff

    Kuna uhitaji mkubwa wa kuongeza uelewa wa Watanzania kuhusu Usalama wa Kidigitali

    Tanzania, kama nchi nyingine nyingi duniani, inakabiliwa na tatizo kubwa la ukosefu wa elimu ya usalama wa kidigitali miongoni mwa raia wake. Hali hii inamaanisha kuwa watu wengi nchini hawana uelewa wa kutosha juu ya jinsi ya kujilinda na kuhakikisha usalama wao katika ulimwengu wa kidigitali...
Back
Top Bottom