Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa madarakani kwa lazima.
Marekani haitakuwa tayari kuwaacha maraisi wenye tabia kama hizi kuendelea...
Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi.
Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo?
Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji...
Ukisikia kiongozi anaitwa Dikteta ujue ameminyia makanjanja wa nchi ulaji.
Makanjanja wa nchi wanataka na wao wapate kula, wafaidi mema ya nchi hivyo humsema kiongozi dikteta kwa sababu amewaminyia ulaji.
Ukisikia makanjanja wanapiga kelele sio kwa niaba ya wananchi, ni kwa niaba yao. Mfano...
Akiwa katika mahojiano na clouds, Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda, dunia hii Mungu atunusuru na makasuku, leo anaongea hili kesho anaongea Lile.
Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia.
Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika...
Moja ya mambo ambayo madikteta hawapendi ni kukosolewa, kwa miaka ya hivi karibuni mitandao ya kijamii imekuwa njia kubwa ya kukosoa mamlaka na kuleta mabadiliko katika jamii.
Kipindi Rais Samia anaingia madarakani mitandao mingi ilikuwa na bei ndogo za vifurushi mfano, mimi nilikuwa nikinunua...
Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali.
Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka kutajadili na serikali.
Sijui jambo gani litatokea. Wafanyakazi watakuwa wazalendo na kusema"hewallah" kila...
Wengi hupitia nyakati ngumu endapo wakiongozwa na viongozi ama mabosi madikteta.
Zifuatazo ni mbinu unazoweza kutumia ili usidhurike au dikteta asikuone unampinga.
1. Usifanye jambo ambalo pongezi zitaenda kwako badala ya kwake, hata kama umefanya wewe jambo zuri linasibishe kwamba yeye ndio...
Lissu ni Dikteta kwa kuwa anamshawishi Rais Samia kutozingatia utawala bora na kuingilia mihimili mingine.
Lissu anataka Samia avunje Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuingilia Bunge la JMT kwa kuwaondoa wabunge wanaowawakilisha wananchi tena jambo baya zaidi wabunge...
Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile.
Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake.
Samia ni muumini wa kupambwa kuliko...
Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja,
Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
Jana anawaambia watu wazima kwenye kikao namna ya kufanya siasa jinsi anavyotaka yeye na siyo sheria zinavyotaka,,Anasingizia uongo eti wapinzani wakifanya mikutano ya hadhara wanaharibu mali za watu hivi ni lini na wapi hilo limetokea !!? Tumeshuhudia operations nyingi kama Operation...
Nashindwa kujizuia hili jamaa kuliita Dume na Mwamba wa Afrika
Tuliambiwa kuwa Idi Amini alikuwa dicteta wa hatari, anakula watu, anakula damu za watu na mambo mengi yanayofanana na hayo lakini siku zinavyozidi kwenda inakuwa tofauti sana. Baba zetu na mama zetu walimuimba sana mashuleni...
Ni bora mkatudadavuliya ili tujue ni nani na kipi kinatofautisha udikteta.
Vipimo vitasaidia na kuwasaidia waamuzi wanapoamua ili watazamaji wasione kuna upendeleo.
Kuna mtu alimwita jamaa dikteta uchwara kisha akatoka baru ,sikuelewa hadi leo hajarudi ,nikimaanisha akimuogopa Dicteta au...
Ama kwa hakika yahitaji Almasi kukata Almasi.
Rasmi, live na bila chenga amefahamishwa dikteta wa Uganda kuufyata.
Ama kwa hakika Madikteta uchwara wana nini cha kuiambia dunia kuhusu demokrasia?
Heko Col. Doumbouya, hadi hapo unasomeka vyema sana. Huyo mmoja na kwetu wapo.
---
Mamady...
Sijui huyu Bi. Mkubwa wetu anajisikiaje akiona vitu kama hivi mtandaoni! Leo anaitwa dikteta wa kike.
Maana kwa mujibu wake yeye mwenyewe, huwa anajivinjari humu mitandaoni ili kujua yaliyomo vichwani mwa wananchi.
Tulio wahalisia wa mambo na tulio na uzoefu wa kufuatilia siasa za kitaifa na...
Jambo la msingi ni kutengeneza kwanza watu waadilifu na taaisis zilizo imara kabla ya hiyo katiba yenyewe, kwasababu hata Katiba iwe nzuri kiasi gani tukija kupata Rais Dikteta ataikanyaga na mtaufyata mkia.
Rais Samia endelea kupiga kazi usiguse kabisa mambo ya Katiba hadi utapopata muhula wa...
Sijui ni kwanini malaika wote huchorwa wakiwa ktk maumbile ya kike, japokuwa inadaiwa kuwa hakuna mwanamke malaika.
Yaani Mungu wetu anao malaika wa kiume tu, hana wa kike hata mmoja. Lakini michoro yote ya malaika ina wa Brand kama wanawake na si wanaume. Niliwahi kumuuliza mwalimu mmoja wa...
Kauli ya Rais Samia kuminya uhuru wa Raia na vyama vyao vya siasa kwa kutozingatia katiba na sheria ameingia kwenye rekodi mpya kama Rais Mwanamke wa kwanza Africa kuwa Dikteta.
Siku ya 101 madarakani, Rais Samia Suluhu tayari ameanza kulewa sifa na mapambio. Ameamua kuendelea kuminya uhuru wa...
OBAMA SIO BINADAM WA KAWAIDA
Muammar Gaddafi alimpenda Barrack Obama kama mtoto wake wa kiume.
Wakati Obama alipokuwa rais wa Amerika , Gaddafi alikuwa mmoja wa viongozi wa kwanza wa Kiafrika ambao walimpongeza na kumsifu.
Gaddafi aliamini unabii wake umetimia, kwa sababu aliandika katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.