Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford anatarajiwa kufanya vipimo vya Afya, leo Jumapili Februari 2, 2025 kuelekea kukamilisha mchakato wa kusajiliwa na Aston Villa kwa mkopo.
Mchakato ukikamilika Aston Villa itamlipa 70% ya Mshahara wake wa sasa wa Pauni 350,000 kwa wiki huku...