dili

Dili (Portuguese/Tetum: Díli, Indonesian: Kota Dili), also known as City of Peace, is the capital, largest city, chief port, and commercial centre of East Timor (Timor-Leste). Dili is part of a free trade zone, the Timor Leste–Indonesia–Australia Growth Triangle (TIA-GT).

View More On Wikipedia.org
  1. Shujaa Nduna

    Watengenezaji wa bia mnakuwa kama mmekula dili na wauzaji

    Zamani ilikuwa bia kubwa tu basi burudani, lakini sasa bia ndogo zimetapakaa lakini kitu ambacho sikipendi watu wa bar na grocery wanaweka kwa wingi bia ndogo kwa makusudi halafu bei sawa bia kubwa. Sasa watu wa breweris kwanini mpo tu wakati wakati wateja tunakuta tusichokipenda kwa bei ghali...
  2. B

    Wapiga dili waiandama TANESCO

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watanzania kudharau mambo muhimu na ya kimsingi hasa yanayofanywa na watanzania wenzetu wazalendo, jambo linalopeleka kulikwamisha Taifa letu kwenye kupiga hatua za kimaendeleo. Tabia hii imekuwa ni ya kudumu na imeendelea kukua kwa miaka na miaka hali...
  3. DR HAYA LAND

    Msiyokuwa na kazi kuelekea 2023 punguzeni kucheza dili za hatari

    Hakuna watu wanacheza Dili za hatari Kama Ma-jobless, that's why wengine wamekataa kuajiriwa na kulipwa ujira wa kijiko wa laki sita hadi Saba. Hii ni kwasababu wanacheza dili za hatari.
  4. William Mshumbusi

    Tanesco Kama mnaandaa hoja za kupiga dili kupitia mradi wa dharula wa kuzalisha umeme nazani mlishapata. Choteni mahela mtutoe kwenye mgao huu mkali.

    Kwanza hii nchi inawasomi wa kutosha. Inamaana hawakujiandaa kabisa kwa chochote kuhusu umeme maji yakipungua? Kwa uzoefu mgao ukiwa mkali hivi ujue Kuna Jambo linatafutwa. Mikataba ya haraka haraka ya Bei juu iliyojaa utata inataka kupitishwa ili watu wapige mahela. Kila kitu kimekamilika...
  5. NetMaster

    Tukiwatoa wasanii 10 wenye mafanikio kimziki, waliobaki wengi huishi kwa misaada ya familia, kupewa ofa, mashuga mami, kudanga na kupiga dili nyeusi

    Na huo ndio ukweli, tukiwatoa wasanii wale 10 wenye mafanikio ni wachache sana waliobaki kama kina shilole mwenye shishi food na young dee mwenye kibaa chake wanaweza kujitegemea kiuchumi. Wasanii wengi huishi kwa misaada ya familia, ofa, kulelewa na mashuga mami, kudanga mapedeshee na mishe...
  6. Mganguzi

    siasa ni dili ,hawagombei ili washike dola! wanagombea wapate hela!

    Utaona wakati wa kampeni wagombea watamiminika kutoka kusikojulikana! hata waliokimbia nchi watarudi, kwa nini? Kwa sababu kwenye kampeni kuna ulaji mkubwa, sisi oya oya! ndio tunakuwa wapiga makelele, lakini hawapo sirias na kile wanatuaminisha! Wapata wafadhili lukuki wakati huo !watu...
  7. Mwande na Mndewa

    SHIDA YA MAJI: Maboza, matenki na visima vyawa dili Dar

    Nianze kwa kuipongeza DAWASA kwa kujitahidi sana kuhakikisha Dar ina maji, tukilinganisha na Dar ya zamani, kwenye suala la maji kwa sasa Dar walau ni nusu pepo. Kwa uwezo wao DAWASA wamejitahidi, wameathiriwa na kiangazi kikali sana mwaka huu, lakini pia ni vyema DAWASA wakajipanga zaidi jinsi...
  8. JanguKamaJangu

    Chelsea yakubaliwa dili la kumsajili Wesley Fofana

    Chelsea imefikia makubaliano na Leicester City juu ya ada ya Paundi Milioni 70 kufanikisha dili la kumsajili Wesley Fofana (21) baada ya awali dili hilo kukwama mara tatu. Kocha wa Leicester, Brendan Rodgers alimpa adhabu beki huyo kufanya mazoezi na kikosi cha vijana cha U23 baada ya Fofana...
  9. S

    Baada ya kumchuna miaka 3, nimekula dili na mama amkatae siku ya kumtambulisha

    Nikiwa na miaka 21 kuna mwanaume mtu mzima (39) amekuwa akionesha nia ya dhati ya kutaka kunioa. Mm nilimpa masharti kuwa siko tayari kwa ndoa lkn akaning'ang'ania. Nikawa mtoto wa kike nikikohoa tu muamala unasoma, nikilia shida muamala unasoma na nikiwa na uhitaji wowote ule muamala unasoma...
  10. JanguKamaJangu

    Dili la Rabiot kujiunga Man United hatarini kukwama

    Mchakato wa Manchester United kumsajili Adrien Rabiot kutoka Juventus kwa Paundi Milioni 15 (Tsh Bilioni 42) lipo mbioni kukwama kutokana na kutokubaliana kuhusu mshahara. Veronique Rabiot, mama wa Rabiot ambaye ni wakala wa mchezaji huyo anataka mteja wake alipwe mshahara wa Paundi Milioni 6...
  11. M

    Kuna kila dalili simba kupigwa kanzu kwenye dili la manzoki

    Kuna mambo yanaendelea kimya kimya yanaweza yasiwafurahishe mashabiki wa simba lakini Mpira ni pesa na pesa ni sabuni ya roho,,tujipe muda
  12. S

    Hivi Wanyakyusa na Wasukuma nani kawaambie Lugha zenu ni Dili?

    Rais Samia yupo Mkoa wa Mbeya kikazi kwa siku nne leo ni siku ya tatu. Yupo Rais pale na ujumbe wake. Pili tukio liko LIVE watanzania wote wanaliangalia na kufuatilia. Hasa wabunge ni washamba zaidi ni Spika tu ndiye mwelewa. Kwanini wanaongea kilugha wanapandikiza kitu gani? Kwamba lugha...
  13. M

    Kila nikilala nae tu, kesho yake napigiwa simu ya dili la hela

    Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule. Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani. Kuna mademu wana kisimati sana usione tumewang'ang'ania wakati...
  14. LIKUD

    Ujuaji wamkosesha dili la mamilioni mwalimu wa muziki/ nyimbo jijini Dar es Salaam

    Ni hivi kuna mtoto wa tajiri mmoja aishie Oman mwenye asili ya Zanzibar anafanya project ya uandishi wa nyimbo za kiswahili ili kuona kama nyimbo zinazo tokana na utunzi wake zinaweza ku trend. Kinacho fanywa na familia hii ya kitajiri ni kama kilicho fanywa na Mzee Bakhressa alipo ianzisha...
  15. BigTall

    Chelsea yasitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo, Kocha akataa dili

    Chelsea imesitisha mpango wa kumsajili Cristiano Ronaldo baada ya kuelezwa kuwa kocha wa timu hiyo, Thomas Tuchel kumwambia mmiliki wa klabu, Todd Boehly hamuhitaji Mreno huyo. Inadaiwa Chelsea ilikuwa mbioni kumsajili mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 37 wa Manchester United lakini kwa...
  16. JanguKamaJangu

    Serbia yatangaza dili nono la kuuziwa gesi kutoka Urusi, yapotezea kuungana na EU kuweka vikwazo

    Wakati mataifa mengi ya Ulaya yakiongozwa na Umoja wa Ulaya (EU) wakiendelea kuweka vikwazo kwa Urusi, Serbia imetangaza kukubaliana na taifa hilo katika biashara ya gesi. Rais wa Serbia, Aleksandar Vucic amesema kuna makubaliano mazuri ya taifa lake kuuziwa nishati hiyo kutoka Urusi, hiyo ni...
  17. JanguKamaJangu

    Rasmi Premier League yapitisha dili la Todd Boehly kuinunua Chelsea

    Bodi ya Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ umethibitishwa rasmi kupitisha mchakato wa Klabu ya Chelsea kuuzwa kwa paundi bilioni 4.25, ambapo mnunuzi ni Bilionea Todd Boehly. Klabu hiyo iliwekwa sokoni na aliyekuwa mmiliki wake, Roman Abramovich ambaye amewekewa vikwazo kutokana na ukaribu...
  18. JanguKamaJangu

    Hatimaye dili la Roman Abramovich kuiuza Chelsea kukamilika ndani ya saa 24 zijazo

    Hatimaye Serikali ya Uingereza imeonesha njia ya wazi kwa Bilionea Roman Abramovich kuiuza Klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly kwa paundi bilioni 4.25 (Tsh. Trilioni 12.3) ndani ya saa 24 zijazo Vyanzo vya ndani zinaeleza kuwa kuna mafanikio makubwa katika mazungumzo wakati huu ambapo pasipoti ya...
  19. Suley2019

    Viongozi wengi wa Serikali za Mitaa wapiga dili. TAKUKURU wamulikeni

    Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo. Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
  20. J

    Marekani kupeleka Ulaya Cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia ile waliyokuwa wananunua Urusi

    Kuupanda mchongoma kushuka ndio ngoma Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia. Source: BBC
Back
Top Bottom