Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watanzania kudharau mambo muhimu na ya kimsingi hasa yanayofanywa na watanzania wenzetu wazalendo, jambo linalopeleka kulikwamisha Taifa letu kwenye kupiga hatua za kimaendeleo.
Tabia hii imekuwa ni ya kudumu na imeendelea kukua kwa miaka na miaka hali...