dini

  1. David Harvey

    Bora kuoa wa dini yako,mchana wa leo nimenyimwa mzigo

    Kazi zangu za chaka natumia nguvu nyingi sana lazima nile tena nipate msosi wa kutosha usiniulize mambo ya kwaresma. Wife ni wa dini ya upande wa pili ,mwezi mzima sipo nyumbani leo nimerudi nataka nipunguze uzito yeye hataki anasema yupo kwenye thwaumuuuu. Daaah inauma sana chakula unakiona...
  2. hamis77

    Dini ni utapeli mkubwa

    TOFAUTI KATI YA DINI NA WOKOVU Watu wengi wamefungwa na dini wakiamini kuwa ndio njia ya kufika mbinguni, lakini hawajagundua kuwa dini na wokovu ni vitu viwili tofauti. Yesu alipokuwa duniani, alishindana sana na viongozi wa dini kama Masadukayo na Mafarisayo kwa sababu walitumia dini kama...
  3. tpaul

    Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

    Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana. Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Maisha baada ya kifo, dini, filosofia na sayansi vinasemaje?

    Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo kuu: 1. Dini za Kikristo: Zinasisitiza kuwa kuna maisha baada ya kifo, ambapo watu wanaweza kuishi...
  5. aise

    Mtazamo walionao watu wa Dini juu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu

    Kuna mtazamo potofu wanao watu wa dini, wanaamini mtu ambaye haamini uwepo wa Mungu basi ni mtenda maovu, hana maadili n.k Mtazamo huu ni potofu. Maadili ya mtu hayaamuliwi na imani yake ya kidini, bali misingi yake ya utu, malezi na jamii inayomzunguka. Kuna sehemu tulikuwa tunafanya kazi...
  6. MKATA KIU

    Dini ni hatari kuliko shetani mwenyewe.

    Dini ni mpango wa binadamu katika kumtafuta Mungu. Hakuna anaejua ukweli kama binadamu yupi ameupatia mpango huo ama ameukosea. Waislam wanaamini wapo sahihi na wakristo wataenda motoni. Wakristo nao wanaamini wapo sahihi hivyo waislam wanakosea wataenda motoni. Wasabato wanaamini wao...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwalimu Sekondari ya Mwilibona awapiga wanafunzi 2 na kuwavimbisha mikono sababu ya kuchelewa kufika shuleni

    Mwalimu Kisogi wa shule ya Sekondari Mwilibona awapiga wanafunzi wake 2 na kuvimba mikono na damu kumwagika kisa wamechelewa kufika shule. Wanafunzi wao wamesema walikuwa wanakwenda kusaini ofisini kwake kwa sababu walikuwa wanakosa shule. Kwahiyo walitakiwa kila siku wasaini saa moja na nusu...
  8. B

    Uwendawazimu wa watu wa dini (Ukristu na Uislamu) upo hapa

    1. Unasema una mpenda na kumtii Mungu ambae hujawahi kumuona na wala hahitaji chochote kutoka kwako. Ila 2. Unamchukia mwanadamu asie wa dini yako lakini ameumbwa na Mungu huyo huyo unae muabudu wewe. Wewe mkristu kwanini uwachukie binadamu wenzako eti kisa sio wa kristu kama wewe? Wewe...
  9. Intelligent businessman

    Nimeamua kuachana na masuala ya dini, sihitaji kero za ajabu

    Nimepiga hesabu nikaona dini ni urithi mmoja wa ajabu sana, ninaamini Mungu yupo ila nita mwabudu nje ya hilo box. Yaani unazaliwa na kukabidhiwa kitu usichokielewa au kupewa nafasi ya kuchagua. Na hizi dini ndio zimetengeneza viumbe wenye hulka ya mazombie au vampire, ambao wao kazi yao ni...
  10. Infropreneur

    Kwenye dini kila kitu kinafanya kazi katika ulimwengu wa kiroho, Lakini likija suala la pesa 💵 hilo ni la kimwili.

    Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho. Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂 Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili? Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Dini ya Kiislamu ndio dini yenye waumini wanafiki kuliko dini zote duniani.

    Zamani kulikuwa na watu wanaitwa Mafarisayo. Watu washika dini lakini wenye giza totoro ndani ya mioyo yao . Mafarisayo ni watu wenye SAUTI za upole, watulivu wawapo kwenye hadhara lakini moyoni hawana Mungu. Mimi ni Mkristo, pentecostal. Origin yangu ni uislamu. Nimekulia katika familia ya...
  12. Chizi Maarifa

    Huwezi kuja pata Amani katika Dini ya Uisilamu, Haina hiyo Misingi toka hata kwa Mtume mwenyewe

    Ni kudanganya Umma. Kuwa uislamu ni Dini ya Amani. Haina hiyo Misingi. Muhamad hakuwahi hubiri au sambaza upendo. Aliishi kwa upanga.
  13. Nyafwili

    Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

    Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga. . Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni...
  14. Cute Wife

    Pre GE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia. Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
  15. Maalim Raphael

    Kwanini Hospitali ya St. Benedict, Ndanda, Mtwara huuliza wateja dini zao?

    Salaam wanajamvi! Sitaki kuwapotezea muda kwa kuwa nami sipendi kupoteza muda wangu, najielekeza moja kwa moja kwenye mada lengwa karibuni. Jana nilienda hospitali ya Rufaa ya Mt. Benedikto (St. Benedict, Ndanda, Mtwara) kwa ajili ya matibabu. Nakiri hii ni katika hospitali bora kabisa kwa...
  16. T

    Dini na ukabila ni sumu kwa Taifa by Hayati Baba wa Taifa

    https://m.youtube.com/watch?v=6QHH07X5m28
  17. Genius Man

    kueleka mfungo wa imani ya kiislam nimesikia kuna watu wanasema tusile hadharani kwanini wafuasi wa dini ndiyo wasifunge hadharani

    Nimesikia baadhi ya waislam wenye uelewa finyu wanapangia watu wengine wasile hadharani kwenye mfungo wao kwanini wao ndio wasifunge hadharani. Mtu mwenye akili ndogo anazani kufunga kuna husiana na masuala ya chakula tu na ubwabwa inasikitisha sana kwa mtu kuwa na uelewa mdogo hivi. Mtu...
  18. chizcom

    Tasisi za dini za kiisalamu bado zimelala hapa tanzania zikizungukwa na matapeli wakichangisha au kujipigia miradi.

    Nipo mkoa X nilishangaa kuona mkoa ambao unaweza kuchukua kufikia masaa 14 kufikia kuwa wanaitaji uwezeshwaji wa nyumba ya ibada. Hivi hii tabia ilianza pole pole sana ila imekuwa kama muendelezo.
  19. K

    Happy sabbath, Dini ya kweli ni sabato

    Surah Al-Baqarah (2:65) states: "And you had already known about those among you who violated the Sabbath, and We said to them, 'Be apes, despised.'" Context of this verse: This verse refers to a group of people among the Children of Israel (Bani Isra'il) who disobeyed the command of Allah...
  20. Yoda

    Serikali inapaswa kuratibu madarasa ya kufundisha watoto wadogo dini kupitia mfumo rasmi wa elimu

    Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto. Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
Back
Top Bottom