"Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini...
Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume)
wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi.
Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
“Natoa wito kwa Viongozi wetu wa Dini, Maaskofu, Mapadri na Masheikh wetu, na wao ni Watanzania, yakiharibika yanaharibika na kwao yakitengamaa yanatengamaa na kwao, wasikubali kuambiwa wajibu wao ni kuombea roho za Waumini wao tu, wajiulize je miili ya Waumini wao ipoje, wahangaike na njaa ya...
Naomba kufahamishwa ilo ZBC nani mmiliki na kama serikali tunajua kuwa serikali haina Dini why iwe imejikita kwenye dini?
Tunaona TBC haijaegemea upande wowote zaidi ya upande wa serikali maudhui ya TBC sana sana kuonyenyesha miradi inayo endelea na mambo mengi ya serikali
Lakini kwa ZBC...
MGOGORO PALESTINA, ISRAEL: UTAKATIFU JERUSALEM KIKWAZO CHA AMANI
KISIASA na kihistoria kwa marejeo ya miaka 500 hadi milenia moja iliyopita, Israel ni wavamizi, waliingia kwenye miliki ya Palestina na kuunda taifa lao ndani ya ardhi ya Wapalestina.
Miaka 76 iliyopita (mwaka 1947), hakukuwa na...
Kwa wataalamu wa historia, sayansi ya jamii, na uchumi, umaskini na kubakia nyuma kwa Afrika ni matokeo ya ukoloni uwe wa kisiasa au kiimani au kiutamaduni kama siyo kijamii.
Kupitia jinai hii, nchi za magharibi na za mashariki ya kati ziliingiza dini na kutuibia mali nyingi huku zikiharibu na...
Salamu wakuu,
Siku za karibuni kumekuwa na kundi kubwa la watu wanaopiga matarumbeta kunadi viongozi kwa munajili wa Jinsia. Watu hao wanasahau kabisa kwamba ubora wa kiongozi hautokani na Jinsia yake, Dini yake, Uzanzibari wake, Utanganyika wake, Sura yake nk. Bali ubora wa Kiongozi unatokana...
Wakuu,
Yaani kila mtu anapigana kuwa chawa😂😂, tutafika Oktoba 25 tukiwa tumechoka sana.
====
Viongozi wa dini wamesema wanatarajia kufanya maombi maalum ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan ili Mungu amtie nguvu katika utendaji wake wa kazi na mambo anayotarajiwa kufanya katika kipindi cha...
Amani kwenu wakuu
Watu wameona kuendelea kumwachia MUNGU haiwezekan wameamua watende wenyewe, maana wameona MUNGU mwenyewe hampi ukichaa yule jamaa aliye choma Quran bali anazidi kudunda na kunenepa kila siku
==================
Mwanaharakati anayeupinga Uislamu Salwan Momika amepigwa risasi na...
Si lengo langu kukufuru au kuzodoa bali kutaka kujua. Ukiangalia namna walivyokufa au kilichotokea baada ya vifo vyao, unatia shaka uhalali wa dini za kimapokea. Yesu kifo cha kikatili cha kutundikwa na kufia msalabani
Wakati Muhammad, inadaiwa alikufa tokana na kupewa sumu
Ukiachana na vifo...
Dini zote mashuhuri duniani hasa Ukristo ,Uyahudi na Uislam zinakubaliana ya kuwa binaadam ameumbwa na Mungu,ambaye ni muumba wa ulimwengu mzima.Licha ya hivyo utofauti unakuja mara baada ya kuumbwa mwanaume wa Kwanza(Adam).zipo tafakuri na dhana za kiitikadi mbalimbali katika dini tofauti juu...
Kwahiyo huyu naye anaitwa BABA MCHUNGAJI,?watu wanakuwa mazwazwa sana,yaani upo busy na michezo ya kitoto eti Mungu sasa huyu siakafanye mazingala ombwe zunguni primary school
Kufuatia matokea ya kidato cha nne, form four 2024 yaliyotangazwa 23/1/2025 inaonyesha shule za dini zinafanya vizuri sana, lakini uki-ingia ndani zaidi unakuta ni dini fulani huku zini zingine zikiachwa nje .
Je, ni wakati muafaka kwa SERIKALI KUTAIFISHA SHULE ZA DINI hasa zile dini za Ulaya...
Aise mimi naishi Marekani lakini nina ndugu wengi wanaoishi Tanzania. Na karibu ndugu zangu wote ni waumini wa hizo dini tulizo letewa na waarabu na wazungu ili kutupumbaza. Sasa cha kushagaza hawa ndugu zangu kwa mwezi huu wamekuwa wakinipigia simu kuniuliza kama mimi naishi karibu na huko...
Kuna baadhi ya madhehebu ya dini yameweka msimamo kwamba muumini haruhusiwi kuoa/olewa na mtu wa dhehebu lingine.
Binafsi nimeona watu wakipata matatizo yafuatayo kutokana na msimamo huo;
1. Baadhi ya madhehebu hayo unakuta vijana (hasa wanaume) ni wachache. Kwahiyo linapokuja suala la kuolewa...
Ni jambo la kushanga ila ni tukio halisi, Rais Daniel Arab Moi wa Kenya mwaka 1994 aliwahi kuunda tume maalum ya Rais kuchunguza imani za waabudu shetani Kenya. Hata hivyo baada ya ripoti kutoka serikali haikuiweka hadharani rasmi na iliipotezea bila kutekeleza mapendekezo yake mbalimbali kwa...
Changamoto kubwa ya wengi si kushindwa kufanya meditation, bali ni kitopata matokeo ya nia zao za kumeditate.
Mabingwa wa meditation kila wakati wanasisitiza faida zitokanazo na meditation, lakini sijaona hata mmoja akitaja hasara na kutoa suruhu kwa wanaofanya hivyo bila kuona mabadiliko...
Middle East kuna dini kuu tatu (Christianity, Islam na Jews).
Kwanini Uislam na Ukristo uliletwa Africa na sio Uyahudi?? What went wrong with Jews??..
~ SIPENDI SIASA ~
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.