dini

  1. Waufukweni

    Viongozi wa dini, Serikali wasisitiza amani na utulivu

    Watanzania wametakiwa kulinda, kutunza amani na utulivu hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika mwakani. Viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa rai hiyo kwenye kongamano na dua maalumu ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan iliyoandaliwa na mbunge wa...
  2. Daby

    Swali: Je, Kuna uhusiano wa maendeleo na Dini?

    1. Wamarekani asilimia 63 ni wakristo. 2. China asilimia kubwa ni Buddhists na Taoism. 3. Japan asilimia 70 ni Shintoism. 4. Israel asilimia 70 na raidi ni Jewish. 5. Saudia asilimia 90 na zaidi ni waislamu. 6. India zaidi ya asilimia 70 ni wahindu. Qatar ni nchi ya kiislamu Ina maendeleo...
  3. The ice breaker

    Huu ndio ukweli kuhusu Dini

    Dini zote ni utapeli tu, ukristu uliletwa na wakristu kutoka Ulaya na wale wakujiita wamisionari, the same to Muslim under Arabs. Ukristu ni utamaduni wa kigeni kutoka Ulaya, na Islam ni tamaduni mpya kutoka Kwa waarabu, lengo la kuja Hawa wahuni afrika, ni kuchukua Malighafi, watumwa na mambo...
  4. D

    Nchi za Africa ili ziendelee, futa dini zote wote tuwe wapagani. Sisitiza kazi tu.

    Hizi dini ni ushamba na umbumbumbu wa hali ya juu na zinatufanya maskini wa kutupwa. Imagine unatafita pesa kwa jasho halafu unaenda kumtajirisha let say mwamposa au padre anaye shinda bar na malaya na we unaaninj kabisa kwamba pesa yako imeliwa na Mungu.
  5. hp4510

    Swali Kwa wanazuoni Kwa Dini ya Kislam na Waumini wa Dini Hiyo

    Msomaji Husika na Kichwa Cha Habari kama kilivyo Swali langu ni kutaka kujua Je ni muda wa saa ngapi Adhana ya Swala ya Alfajiri inatakiwa kuaziniwa? Nauliza hivyo because, nilikuwa najua ni saa 11 kasoro but now days naona mambo ni tofauti Adhana inaanza saa Tisa na nusu, then saa kumi...
  6. sanalii

    Nawaonea huruma waislam waliofariki wakidhan wanapigania dini kwenye biashara za watu.

    Masheikh na vijana wa kiislam walioingia kichwa kichwa wakidhan maeneo mbali mbali ni vita ya dini ila ukweli. Leo ni ajabu neno jihad na friendly linawekwa kwenye sentence moja Wito wangu kwa vijana wa kiislam, 1. Fanya ibada zako. 2. Tenda haki, usidhulumu wala kudhulumiwa 3. Jiimalishe...
  7. Forrest Gump

    Ujuaji mwingi wa Waafrika kuhusu mambo ya imani ndio unafanya wao kuwa watumwa kwa watu wengine

    Mbona hatujapata sasa suluhisho la haya yote. Maana ujuzi halisia wa kitu ina maana hauwezi tena kuwa mtumwa wa kitu hicho. Unaweza kuta mtu anaandika kwa uhakika kuwa sababu ya magumu yako ni nyota yako imeharibiwa au dhambi zako lakini unashangaa kuna tajiri mmoja yupo ana dhambi zaidi yako...
  8. Bulelaa

    Hivi..! Dini yetu sisi, inaushirika gani na ugaidi?

    Hamjamboni Watanzania wenzangu Siku za hivi karibuni, nimekuwa sina furaha, kila nikifungua mitandaoni, Kwenye luninga na sehemu mbali mbali za mitandao nakutana na tarifa za ugaidi zikiwa zinahusisha watu wa upande wa dini yangu tu Sasa najiuliza, haya mambo ni kweli kabisaa au kuna namna...
  9. Makonde plateu

    Dada aliyeacha usister tumekuja kufuatilia kumbe alifukuzwa kutokana na vurugu zake na eti anataka kubadilisha dini aolewe na muislamu

    Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu...
  10. Manfried

    Kwanini watu wa dini hawafanikiwi katika maombi yao?

    Watu wa dini asilimia kubwa hawafanikiwi Kwa sababu zifuatazo . Huu ulimwengu unajiendesha wenyewe . Unachobidi ni kuupelekea ulimwengu ambacho wewe unahitaji ili uweze kukipata . Mfano haiwezekani wewe kila Ahsubui uianze siku Kwa kugombana na shetani , wachawi n.k then hapo hapo uombe neema...
  11. Rozela

    Dini zimefanya wananchi wa Kinole - Morogoro Vijijini kuwa Wapumbavu

    Wiki hii nilifika kijiji cha Kinole kuangalia uwezekano wa kununua mananasi na kuyasafirisha, kipindi naendelea na urafiti nikiwa na vijana kadhaa wenyeji wa hapo nilibaini uwepo wa mpasuko mkubwa wa kidini. Kwanza, wanakijiji waislamu wamejenga upande wao na wakristo wamejenga upande wao...
  12. Father of All

    Kwanini kuchukiana hata kuuana kugombea dini za Mungu wakati Mungu mwenyewe tunaaminishwa ana nguvu za ajabu?

    Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition. Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa. Huwa nashangaa. Kwanini kupigania dini ya 'Mungu' kana kwamba Mungu hana uwezo wa kuipigania dini yake? Tunapigania dini ya Mungu au maslahi...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Serikali ichunguze vikundi vya dini vya wanafunzi shule za Advance

    Napata alarm hapa kuwa kuna vijana radical wanazalishwa mashuleni hasa advance. Hawa vijana wanazalishana wenyewe kwa wenyewe kwa hisani ya watu wazima ambao wako nje ya mfumo. Usipoziba ufa utajenga kuta. Miaka 30 iliyopita Nigeria ilikuwa shwari kabisa lakini sasa serikali ya Nigeria...
  14. DolphinT

    Masauni anapowataka viongozi wa dini wasisitize na kuhubiri amani

    Bwana Masauni napenda kutoa maoni yangu juu ya kauli yako inayohimiza nyumba za ibada kuhamasisha amani. Lengo langu ni kuomba ufafanuzi wa tafsiri yako ya neno amani na jinsi inavyopaswa kufikiwa katika mazingira halisi ya taifa letu. Je, unapotaja amani, una maanisha watu wakae kimya pale...
  15. LIKUD

    Point ya huyu jamaa kuhusu dini na manabii wa uongo inafikirisha sana

    Mwamba na hoja asikilizwe.
  16. S

    Oa au Olewa na MCHA MUNGU na siyo MCHA DINI. Epuka matapeli

    MCHA MUNGU na MCHA DINI NI watu wawili tofauti. MCHA MUNGU anaishi kwa kumtii Mungu moyoni mwake tena kwa hiyari bila shurti lakini MCHA DINI anaishi kwa kuwatii viongozi wa dini yake zikiwemo sheria walizozitunga kwa ajili yake! MCHA MUNGU anatambua fika kwamba kila alitendalo liwe la Siri au...
  17. mlinzi mlalafofofo

    Unajuaje dhehebu, dini au imani uliyopo si ya kitapeli (cult)?

    Cult ni aina ya utapeli unaofanywa kwa mgongo wa dini/imani. cult yoyote inakuwa na dalili kuu hizi hapa: cult yoyote lazima iwe na kiongozi mkuu mmoja na hakuna kinachofanyika bila ruhusa ya huyo kiongozi mkuu. Mara nyingi rasilimali zote za dhehebu hilo ikiwa pamoja na dhehebu lenyewe ni mali...
  18. Mganguzi

    Ningekuwa Padri au Kasisi wa dini yoyote nisingepokea sadaka za wanasiasa ni kulinajisi kanisa la Mungu

    Haya ni maoni yangu kwamba siasa ni ajira iliyotawaliwa na roho mbaya ushirikina na mauaji!! Kama isingekuwa siasa mawazo asingekufa ,Wala mwandishi wa chanel ten daudi mwangosi asingekufa! Isingekuwa siasa Leo Ben saa nane angekuwa anawasindikiza watoto wake shule asubuhi na kwenda kuwachukua...
  19. Mhaya

    Orodha ya Nchi zinazoongozwa Kidini au Dini inanguvu ya ushawishi

    Hapa kuna orodha ya nchi zinazoongozwa kwa sera za kidini au ambazo dini ina ushawishi mkubwa kwenye serikali na sheria za kitaifa. Nimezipanga kulingana na dini husika: 1. Uislamu (Nchi za Kiislamu) Nchi hizi zinafuata sheria za Kiislamu (Sharia) kikamilifu au kwa kiwango kikubwa katika mfumo...
  20. Mkalukungone mwamba

    Rais Samia: Viongozi wa dini niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini

    Lakini pia niwasihi kuendelea kuwa sehemu ya kuunganisha waumini na kamwe msiingie kwenye mtego wa kukata kamba inayowaunganisha waumini, wanadamu ni wanadamu hatujazaliwa tumbo moja na hata wanaozaliwa tumbo moja wanatofautaiana…”- Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Back
Top Bottom