diploma in clinical medicine

  1. K

    Clinical medicine na nursing ipi kozi bora kwa mtoto wa kike kupata ajira kwa hali za sasa?

    Clinical medicine na nursing ipi kozi bora kwa mtoto wa kike kupata ajira kwa hali za sasa? Jamani tupeane uzoefu juu ya mada tajwa hapo juu..ili kijana awe na uchaguzi bora
  2. Violet Nkata

    Upatikanaji wa notes za ordinary diploma in clinical medicine NTA level 4 first semester

    Habar zenu wapendwa, Kulingana na title hapo juu inavyojieleza ni kwamba kwa yoyote anayejua upatikanaj wa notes za Ordinary Diploma in Clinical Medicine either iwe n kwa njia ya magroups au online research. Naombeni msaada kwa ambao wameshapita hii stage na kwa ambao wapo kwenye hii stage.
  3. Dr Adinan

    Unajiunga na chuo cha afya? Fahamu mambo 5 ya kuzingatia wakati unanunua vifaa-tiba kwa ajili ya mafunzo yako!

    Mimi ni Dr. Adinan Juma, daktari na mkufunzi wa vyuo vya Afya mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Nimekuwa akifundisha wanafunzi wa level za Diploma mpaka PhD. Leo nataka nikupe dondoo 5 muhimu zitakazo kuwezesha kununua vifaatiba bora kwa mafunzo yako. Ushuarui huu ni kutokana na uzoefu...
  4. L

    Kwa GPA 3.9 Diploma in Clinical Medicine atapata chuo 2021/2022?

    Habari zenu wakuu, Kuna kijana ana matokeo kama ifuatavyo. Diploma in Clinical Medicine GPA ni 3.9 kahitimu 2015. O' level ana:- B/Maths - A, Physics - B, Chemistry -B, Biology - B na English - C. Kaomba vyuo vifuatavyo:- SUZA- MD, UDOM- MD, UDSM- MD, MUHAS- MD, KCMUCo- MD na CUHAS- Bugando -...
Back
Top Bottom