Waziri Kombo ateta na wanafunzi wa Diplomasia Hungary
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ametembelea Chuo cha Diplomasia cha Hungary na kutoa mhadhara kwa wanafunzi wa Chuo hicho kuhusu Sera ya Mambo ya Nje na mchango wa Tanzania...
Wakati anaingia madarakani ilionekana kama anakirupuka hivi yaani anafungua nchi.
Wengi tusingeweza kuamini kama angeonesha consistence katika sera yake ya mambo ya nje...yaani kufungua fursa kwa watanzania kuelekea mchangamano wa kidunia.
Inawezekana wasaidizi waliopewa kazi hii awali...
Ukanda wa SADC na Africa Mashariki umewahi kuwa na watawala nguli sana wa geopolitics na diplomasia mwaka 2015 kurudi nyuma.
Nyerere, Mandela, Thabo Mbeki, Mkapa, Chisano na Kikwete ambaye ni kama alifunga ukurasa huu walikuwa wanaweza hata kuitisha kikao cha pande zinazogombana, zinazopigana...
Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu.
Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Chikukupi Njelu Kasaka amechukua fomu ya kugombea ubunge wa bunge la Afrika Mashariki (EALA) leo tarehe 14.08.2024. Kada huyo amechukua fomu katika ofisi ya Chama Cha Mapinduzi iliyopo jijini Dodoma akisindikizwa na makada mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi
Chikulupi...
Katika wiki za hivi karibuni China imefanya jambo kubwa la kidiplomasia kwa kuyawezesha makundi 14 ya kisiasa ya Palestina, kukaa kwenye meza ya duara na kujadili mustakbali wa uwakilishi wa watu wa Palestina, na makundi yote hasimu yamefikia maafikiano na kusaini makubaliano, yakiondoka Beijing...
TUUNGE MKONO JUHUDI ZA MHE RAIS SAMIA - BALOZI YAKUBU
Mheshimiwa Saidi Othman Yakubu, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Comoro amekutana na Watanzania wanaoishi nchini Comoro tarehe 2 Juni, 2024 na kuwaasa wawe mstari wa mbele kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za...
Napenda kufahamu tofauti kati ya official state visit na official visit, nimeshangaa kusikia karibu miaka 15 imepita ndiyo Ruto anakuwa kiongozi wa kwanza kutoka Afrika kufanyiwa official state visit huko USA!
===
1. Kenyan President William Ruto will become the first African leader in more...
Habari wadau!
Kuna jambo hili linalalamikiwa sana na Serikali ya Kenya kila kukicha serikali imeweka pamba masikioni. Kuna uwindaji wa Tembo wakutisha unafanyika Endulen (kwa wasiojua Endulen ni pori la wanyama lililoko mpakani kati ya Amboseli National park na Tanzania upande wa huko West...
Niaje waungwana,
Leo ningependa kupata majibu kutoka kwa wajuzi wa mambo ya kidiplomasia, kuhusu kile kinachoendelea huko kwa ndugu zetu wa Haiti.
Kwanza nafahamu kwamba baada ya uhuru, kila nchi huwa na uongozi (serikali) ambayo chini yake kuna vyombo mbali mbali vya ulinzi na usalama kwa...
Viongozi wawili wakubwa wa Hamas wamezipuuza jjuhudi za Marekani kuhusu Gaza kama ni diplomasia ya askirimu.
Basem Naim akiwa nchini Uturuki ameyapuuza matamshi ya raisi Biden aliyotoa juzi wakati akila askirimu aliposema makubaliano baina ya Hamas na Israel yanatarajiwa kufikiwa ifikapo...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania kushiriki Mkutano wa Kamati ya Siasa na Diplomasia (Inter-State Politics and Diplomacy Committee — ISPDC) ya SADC uliofanyika kwa njia ya mtandao tarehe 09 Februari...
Alhamisi ya Januari 18, 2024, Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Lawrence Tax na Balozi wa China nchini Tanzania, Chen Mingjian kwa pamoja wamesaini mikataba miwili baina ya Wizara ya Ulinzi na JKT ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Watu wa China.
Mkataba...
Kwa kipindi kirefu sasa sera ya mambo ya China imekuwa ni sera inayozingatia kanuni ya kujiamini na kujitegemea, uwazi na ushirikishwaji, haki na ushirikiano, na kutafuta njia za pamoja za kutatua changamoto mbalimbali duniani. Sera hii imekuwa endelevu, na msingi wake umekuwa imara, lakini huwa...
Ubalozi wa China nchini Marekani umefanya hafla ya kumbukumbu ya miaka 52 ya Diplomasia ya Ping-Pong, ambapo Balozi wa China nchini Marekani Xie Feng, alitoa wito kwa pande hizo mbili kutumia busara na msukumo wa tukio hilo la miongo kadhaa.
Wataalamu wa China wanaamini kuwa, tukio hilo sio tu...
Waziri Tabia Mwita Afungua Kongamano la Saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani)
Serikali ya Zanzibar imesema lugha ya kiswahili ina mchango mkubwa katika kukuza diplomasia ya uchumi hivyo ni wajibu kwa taasisi zinazofundisha lugha hiyo kuongeza kasi ya kuikuza na...
Kwa mara nyingine hali tete imetokea tena katika eneo la mashariki ya kati. Mbali na mgogoro wa Yemen, na mvutano kati ya Marekani na Iran, mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas umekuwa kuigonga vichwa vya habari, upande mmoja ukilaani vikali mashambulizi yaliyofanywa na kundi la Hamas na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.