diwani chini kenya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Diwani nchini Kenya akamatwa kwa wizi wa simu katikati mwa jiji kuu la Nairobi

    Taharuki imezuka nchini Kenya baada ya polisi kumkamata Cyrus Kisavi Musyoka, diwani wa wadi ya Ikanga/Kyatune, Kaunti ya Kitui, akihusishwa na msururu wa visa vya wizi wa simu katika Jiji Kuu la Nairobi (CBD). Maafisa wa Kituo cha Polisi Kamukunji walimnasa mtuhumiwa katika Mtaa wa Mfangano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…