Diwani wa Kata ya Narungombe, Mhe. Khamis Majaliwa, amechangia wanafunzi wa Shule ya Sekondari Narungombe na Liuguru kwa ajili ya futari katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhan.
Harambee hiyo imefanyika Machi 15, 2025, wakati wa mkutano wa Diwani wa Ilani uliowakutanisha wananchi wa kata hiyo...