Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kutolewa kwa amri ya Mwanasiasa Mkongwe, Dkt. Wibroad Slaa (76) kufikishwa mahakamani ifikapo Machi 4, mwaka huu ili uweze kutolewa uamuzi wa kesi hiyo itakuwa inasikilizwa kwa njia gani.
Uamuzi huo ulitolewa leo mahakamani hapo na Hakimu Mkazi Mkuu...
Kwa nini viongozi huwa wanaapishwa?
Unadhani ule ni utani?
Ni agano kati yako na Mungu ukienda kinyume itakutafuna tu,kama sio wewe ni kizazi chako.
Kiapo cha mapadre ni hatari sana nina mifano ya mapadre watatu ambao walivunja kiapo na kuamua kuoa ila mwisho wao ulikuwa sio mzuri.
Dk Slaa...
Najiuliza tu, huyu mzee hana familia? Maana mahakamani yuko peke yake tu, hana ndugu, wala mtoto au mke anayeonekana kuja kuntembelea au kufuatilia kesi yake.
Dk Slaa alikuwa anatuna mitandaoni kumpigia debe Lissu, lakini Lissu hajajihusisha naye hata kidogo..
May be kiapo cha useja ndio...
Wakili Peter Madeleka amedai mahakamani hapo kuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa kifungu cha 148 (5) kimeweka masharti yanayoweza takapelekea mtuhumiwa kunyimwa dhamana .
Amedai kuwa Dk. Slaa amenyimwa dhamana kwa sababu alitengeneza Hakimu Mkazi Mkuu Beda Nyaki.
"Sisi maoni ni makosa kwa haki...
Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA aliyejirejesha CCM na kupewa ubalozi kabla ya kuenguliwa na Samia Suluhu Hassan, Dk Wilbrod Slaa alisikika akijifanya kukipenda CHADEMA hadi kutaka kushiriki kupiga kampeni kwenye uchaguzi wake. Je ana nini au alisahau nini CHADEMA? Inawezekana mwana CCM kama Slaa...
Wakati Mkapa - CCM
Wakti wa JK - CHADEMA
Wakati wa Magufuli - Mfuasi wa CCM
wakati wa Samia - Mfuasi wa CHADEMA
Anabadilika kama kinyonga anavyobadilika
Hili ni kosa kubwa la kisiasa ambalo Mbowe anataka kulifanya.
Dkt. Slaa kama Lipumba wenye tamaa ya madaraka na waroho wa mali.
Dkt. Slaa aliondoka CHADEMA kwa mbwembwe na kuimiza chadema kimkakati na kiakili.
Hivi sasa baada ya kuona aliopo madarakani sio wa aina yake kaamua kuingia...
Mwambata wa 'SAUTI YA WATANZANIA' na Mwanaharakati Dkt. Wilbroad Slaa, ameshindwa kufanya mkutano wake na waandishi wa habari uliotakiwa kufanyika mapema Jumatatu hii (Oktoba 09.2023) jijini Mbeya baada ya kuchukuliwa na maofisa wa Jeshi la Polisi kutoka hotelini alipofikia kwenda Ofisi ya...
Songombingo la kuvuliwa hadhi ya Ubalozi wa Dkt. Slaa, lilianzia pale kwenye kuvujishwa kwa mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea duniani, wa DPWORD na TPA kuhusu bandari za Tanganyika
Kama kawaida, viongozi wa Kiafrika huwa hawapendi kushindwa na hata wakishindwa, lazima watoe makucha yao...
Kinachomtokea Wilbroad Slaa ni matokeo ya usaliti mkubwa alioufanya, alikuwa katibu mkuu wa Chadema; aliendesha harakati nzito za chama .aliongoza maandamano makubwa kule Arusha vijana wakapigwa risasi wakafa akashiriki kuwazika, majeneza Yao yalipambwa kwa bendera za chama.
Wewe ulitoa hotuba...
Nani asiyependa uwekezaji wenye tija manufaa kwa taifa lake?
Nikiwahi kuandika humu. Sisi kama Taifa hatuwezi kununua cranes za kisasa kuweza kushusha mizigo kwa wakati na kuongeza ufanisi wa bandari yetu?
Kwa nini iwe ni Dp world na Mkataba usiofaa hata kununulia gari bovu?
Taifa hili...
Akizungumza katika kongamano la huduma ya msaada wa kisheria na upatikanaji haki kwa wananchi linalofanyika mkoani Arusha jana Alhamisi Agosti 17, Dk Ndumbaro amehoji kutokamatwa kwa Prof. Anna Tibaijuka na wengine ambao wamekosoa mkataba wa bandari. Ndumbaro amesema kukatwa kwa Dkt. Slaa na...
Taarifa kutoka kwa Phillipo Mwakilima Wakili wa Watuhumiwa wa Uhaini , inaeleza kwamba zaidi ya Mawakili 100 wamejitokeza kumtetea Dkt. Slaa na wenzake kwenye kesi ya uhaini inayowakabili.
Tayari wengine wamekwishaanza kuripoti Mkoani Mbeya kwa ajili hiyo .
---
Zaidi ya mawakili 100 kutoka...
Wakati Jeshi la Polisi likiendelea kuwashilia wanasiasa Dk Willibrod Slaa na Mpaluka Nyangali maarufu ‘Mdude’ na mwanasheria Boniface Mwabukusi, mawakili wao wamedai kuwa wateja wao wamehojiwa kwa tuhuma za uhaini.
Kufuatia madai hayo, baadhi ya wanasheria nchini wamezungumzia hatua hiyo...
Duru za kinyeti zinatabanaisha, huenda Dkt. Slaa na wenzake wakazuiwa kwenda kuongoza mkutano waliouitisha kwa ajili ya kujadili suala la MKATABA wa BANDARI.
Nukuu:
"....Mkutano wao kina Dk Slaa sidhani kama utaruhusiwa na wakubwa. Yapo maelekezo japokuwa hayajawa bayana mkutano ule uzuiliwe...
Je, amerejea CHADEMA? Tusubiri tuone
Aliyewahi kuwa Katibu wa CHADEMA Taifa na baadaye Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dkt. Wilbrod Slaa kwa mara ya kwanza jana Jumapili amehudhuria mkutano wa Chadema Wilaya ya Karatu na kuahidi atashirikiana na chama hicho kudai Katiba mpya.
Dkt. Slaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.