dk slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Replica

    Tundu Lissu: Siku zote kupoteza mtu 'Calibre' ya Dkt. Slaa ni hasara. Agoma kujibu kama Mbowe anatosha nafasi ya uenyekiti

    Tundu Lissu amehojiwa na Dar 24 na miongoni mwa maswali ni faida ya ujio wa Edward Lowassa iliyosababisha kumpoteza katibu mkuu. Lissu amekiri ilikuwa hasara kubwa kumpoteza mtu 'Calibre' ya Dkt. Slaa na kudai Dkt. Slaa alikuwa katibu wao mzuri sana lakini amekataa Lowassa kuwa sababu ya Slaa...
  2. J

    Dkt. Slaa amshutumu Magufuli kwamba zuio la mikutano ya hadhara lilikuwa batili na haramu

    Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio. Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo. Msikilizeni Dr hapa chini.
  3. MSAGA SUMU

    Hiyo mikutano itakuwa imepoa bila Dk. Slaa

    Upinzani yote siyo CHADEMA pekee, hamna mtu anayeweza kucheza na umma/ nyomi Kama Dk Wilbrod Slaa, siyo Mbowe, siyo Lissu wala Zitto. Kwa mara hii wanaingia ukumbini bila huyu gwiji orator ndg Slaa. Upinzani yote hamna mtu atakayeweza kuunganisha takwimu, uchambuzi pamoja na uchaguzi sahihi wa...
  4. M

    Dk Slaa mbona unakaa kimya? Huoni kinachoendelea? Wale jamaa waliokuwa wanakutonya kuhusu upigaji wapo kimya?

    Please please Dk Slaa hivi sasa hali sio nzuri kabisa. Taifa letu litaibiwa sana. Wewe una bahati ya kuwa na wanyetishaji. Ndio maana huko nyuma uliibua madudu makubwa. Sasa hivi kuna harufu mbaya sana inanukia juu ya ufisadi na wewe ulishaisikia. Please hebu ongea kitu maana sasa tunaelekea...
  5. M

    Dkt. Slaa huu ndio wakati wako kutupatia skendo za ufisadi kama huko nyuma ulivyofanya

    Miaka ile ukiwa bungeni ulilisaidia taifa lako kuibua madudu mengi sana. Na ulikiri wazi kuna jamaa zako Usalama wa taifa walikuwa wanakuvujishia nyeti hizo. Sasa hivi umekiri harufu za ufisadi kurudi kwa kasi ya 5g. Huu ndio wakati wa kuwalipua mafisadi. Wasiliana na jamaa zako ili wakupe...
  6. chiembe

    Baada ya kauli ya Dk Slaa: Serikali ianzishe uchunguzi dhidi ya Chadema kabla hawajamalizana wao kwa wao

    Serikali ianze kufuatilia hawa Chadema kabla hawajamalizana wait kwa wao, kama wanatekana na kuuwana, serikali ichunguze, vyama vya hivi havustahili hata kuwa na usajili
  7. Idugunde

    Nani mkweli kati ya Dkt. Mollel na Dkt. Slaa juu ya Lissu kupigwa risasi. Kwanini CHADEMA wanakuwa kimya? Polisi nao mbona hawachukui hatua?

    Dkt. Slaa amegusia juu ya Lissu kupigwa risasi na kudai kuwa huenda CHADEMA walihusika maana walikuwa na makundi ya kigaidi yaliyofanya uhalifu wa kigaidi ili kuichafua serikali. Dkt. Mollel nae aliibuka huko nyuma akiwa Bungeni na kudai CHADEMA walimtwanga Lissu risasi na aliongea bila...
  8. JanguKamaJangu

    Wilbroad Slaa: Sina chama tangu nilipojiuzulu Ukatibu Mkuu wa CHADEMA

    “Mimi sina chama chochote, naomba niiweke hii sawa tangu Septemba 1, 2015 nilipojiuzulu ukatibu mkuu wa Chadema, lakini niliweka wazi kuwa katika masuala ya kitaifa, nitatoa kauli yangu, nitafanya hivyo bila uwonga wowote,” Balozi Dkt. Wilbroad Slaa, amesema hayo katika Kongamano la...
  9. Chagu wa Malunde

    Dkt. Slaa wewe ndio mpotoshaji mkubwa, Katiba ndio muongozo na jibu la kila kitu. Hii tuliyonayo sasa ina mapungufu makubwa

    Dunia nzima inafahamika kuwa katiba ndio supreme law of the state. Leo hii sisi watanzania tuna katiba ambayo ilitungwa mwaka 1977. Na ukiangalia ilikuwa ikireflect kujibu matatitizo na kero zilizokuwepo wakati huo. Ndio maana kumekuwepo na mabadiliko ya katiba hapa nchini kwetu zaidi ya mara...
  10. John Haramba

    Dkt. Slaa: Niliudhika kwa maneno ‘Mbowe si gaidi’, nyie ni nani mpaka kusema siyo gaidi? Ataka wananchi wanyamaze Mahakama ifanye kazi yake

    Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA, Balozi Dkt. Wilbrod Slaa amekiri kuudhika na maneno kuwa 'Mbowe si gaidi' ambayo hutolewa na baadhi ya wananchi kuhusu kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. Amesema wananchi wanatakiwa kuiachia mahakama ambayo ndio chombo cha haki...
  11. Idugunde

    Ushauri: CHADEMA msimkebehi Dkt. Slaa baada ya kurudi nchini, mfuateni na mumuombe arudi ili awanyanyue kisiasa tena

    Mimi nahitaji upinzani makini kwa maendeleo ya taifa letu. Chadema mkipata Dkt. Slaa mtapata chombo chenye nguvu na uwezo wa kisiasa na kitawanyanyua kisiasa maana anajua mbinu zote za medani. Huu uahauri ni muhimu, ila nashangaa mmebakia kumkebehi kuwa amerudi Bongo hana lolote baada ya...
  12. USSR

    Dk Slaa: Bado naweza kurudi kuwa Padre

    Namuona hapa TBC1 balozi mstaafu Dkt. Slaa anapiga kamba eti kwa kanuni za Kanisa canon law anaweza kurejea madhabahuni akawaongoza kandoo za bwana waende mbinguni. Eti wajuvi ni kweli huyu Mwanasiasa anaweza kurudi kanisani au ndio tunapigwa kamba. USSR
Back
Top Bottom