dkt ayoub rioba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba aibukia sakata la Mhadhiri UDOM, asema Tutakuwa Taifa la watu wajinga sana tukidhani uhuru wa kuhoji na kukosoa unamilikiwa na watu fulani

    Sakata la kisheria linalomkabili mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limeendelea kuibua mijadala mipana nchini baada ya aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dkt. Ayub Rioba Chacha, kuibuka na kutoa tahadhari kuhusu usalama wa uhuru wa...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Dkt Ayub Rioba akana tuhuma za yeye kuwa chawa

    Kwa wale walioamua kuendelea kunitukana na kusema mimi 'chawa' na kwamba sasa ninarudi kushika jembe au kusota, nina ujumbe wenu pia! Nilizaliwa ktk familia ya mwalimu wa shule ya msingi. Niliishi maisha ya Mtanzania wa kawaida kabisa. Wali au sukari vilikuwa vitu adimu. Mnavipata tu siku za...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba mkurugenzi TBC: Rais Samia ana mapenzi makubwa na TBC utashi wake ndio umesukuma sheria ya shirika hilo kupelekwa bungeni

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema kupitishwa kwa Sheria ya TBC kunatokana na mapenzi makubwa aliyonayo Rais Samia Suluhu Hassan kwa shirika hilo. Akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TBC...
Back
Top Bottom