Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema kupitishwa kwa Sheria ya TBC kunatokana na mapenzi makubwa aliyonayo Rais Samia Suluhu Hassan kwa shirika hilo.
Akizungumza mkoani Dar es Salaam wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TBC...