Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi Mei 19, 2026 imemuachilia huru kwa kumfutia KESI ya UHAINI Mchungaji Godfrey Malisa, kwa masharti kwamba asifanye kosa ndani ya Miezi 12.
Picha hii imeboreshwa na AI
Dkt. Godfrey Malisa alikuwa anakabiliwa na kesi mbili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi...