dkt. leonard akwilapo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Akwilapo atoa onyo kali kwa wavamizi wa ardhi

    DAR ES SALAAM- Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, amewaonya wananchi wanaovamia maeneo kwa nguvu na kuunda vikosi vya ulinzi kwa ajili ya kulinda maeneo hayo, akisema Serikali haitavumilia vitendo hivyo na kwamba hatua kali za kisheria zitachukuliwa...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi awaonya Viongozi wa vijiji kujihusisha na uuzaji wa ardhi kiholela

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Leonard Akwilapo amewatahadharisha viongozi wa vijiji nchini kuacha kujihusisha moja kwa moja na uuzaji wa ardhi bila kufuata taratibu za kisheria, akisema tabia hiyo imekuwa chanzo kikubwa cha migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…