dkt mwinyi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar imepata jembe, Dkt Mwinyi anavunja hadi Ofisi za CCM zilizo barabarani kupisha ujenzi wa barabara safi kabisa kazi iendelee

    Barabara ya kutoka mwembe ladu mataaa kupanda mwembe mimba, kulikua na majengo mawili ya wazee wa ccm, yana maduka na maskani ya kuangalia mpira na habari, amani fry over majengo ya ccm zaidi ya maduka kumi na kitu, aseee yamekula nyundo sio poa alafu ni ile ya shwaa yani fumba fumbua...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Mwinyi: Nchi yetu ina amani, ina umoja, mshikamano, na hata tuna maridhiano ya kisiasa

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amesema chama hicho kitaendelea kusimamia na kulinda misingi ya amani, umoja na mshikamano ambayo imeiwezesha Zanzibar kufikia mafanikio makubwa ya maendeleo katika miaka mitano iliyopita. Akizungumza leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…