Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya maeneo yenye uhitaji wa Kituo cha Afya kiwe kimejengwa ili kurahisisha huduma kwa jamii.
"Kuna...
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu.
Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC...
Amani iwe nanyi wana wa MUNGU
Leo nikifatilia kongamano la Ekaristi takatifu nimemuona baba Padre Kitima akiwapandisha madhabahuni katibu mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi, Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika na Makamu Nwenyekiti wa CHADEMA-Bara, Tundu Lissu.
Tuendelee kuliombea amani taifa...
baraza la maaskofu katoliki tanzania
dktnchimbi
john mnyika
jukwaa
kitima
kongamano la ekaristi takatifu
lissu
mnyika
moja
nchimbi
padre
padre kitima
pamoja
tundu
tundu lissu
Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji
1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji."
2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."...
Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu.
Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
“Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu"
“Na...
Ni jambo jema
Kanisa Moja Takatifu La Mitume
Mlale Unono 🌹🌹
---
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya...
AHADI YA RAIS SAMIA KIGOMA KUWA LANGO KUU INATEKELEZWA KWA VITENDO: NCHIMBI
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema ahadi ya kuufungua Mkoa wa Kigoma kuwa lango kuu la biashara inaendelea kutekelezwa kwa vitendo.
Balozi Nchimbi amesema ahadi hiyo...
Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya .
Huu hapa ni Mkutano wa Lindi
Angalia kwa Makini halafu Toa Maoni yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.