dkt nchimbi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Rais Samia, tunakuandikia kuhusu Dkt. Nchimbi, ujumbe uliobeba majonzi, hofu, vilio, minong'ono, masengenyo

    WARAKA WA KIASKOFU JUU YA DKT NCHIMBI Mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan! Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania! Tunasalimu kwa jina la Mungu aliye hai, Bwana wa mabwana, mfalme wa wafalme na mkuu wa majeshi yote ya mbinguni (The Lord of Hosts) na ambaye kwa rehema zake mimi nimepata neema ya...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi afungua Mkutano wa Kimataifa SNOSSA 2026

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza dhamira yake ya kuwekeza zaidi katika huduma za matibabu ya Saratani katika Mfumo wa Fahamu (neuro-oncology) na kuimarisha mfumo wa afya kwa ujumla...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Ndani ya CCM hadi sasa, Dkt Nchimbi viatu vya Urais 2030 vinamtosha

    Yepi maoni yako?
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt Nchimbi: Kuna raha yake kupigiwa vigelegele Vs Dkt. Mwigulu: wanalinganisha makofi, sijaletwa kwa ajili ya kupendwa

    Kumbe nyie Mwigulu hana adabu kwa mkubwa wake wa kazi, anawezaje kujibu hivi kimafumbo mafumbo? Mbona Makamu wa Rais aliongea vizuri tu kuhusu viongozi kuwajibika ipasavyo kwa wananchi? Je, hii ni vita ya Urais 2030?
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango amkabidhi ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu Chamwino Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mzee wangu Mpango kapumzike! sasa tena ikiwezekana nenda tu ulipotokea huko Kigoma nenda kafanye kilimo na ufugaji na kucheza na wajukuu zako! Ila pakusema sema usiogope na wala usiwe kama wale wengine wanaleta uchawa na uzee wao! =============== Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchimbi: Watu wenye akili walio upinzani tutawaleta CCM

    Katika Muendelezo wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Mara Mgombea mwenza wa Urais wa chama hicho Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho kitaendelea kuwachukua wapinzani wenye akili ili kushirikiana nao katika kuleta maendeleo nchini. Nchimbi ameyasema hayo leo Agosti 31...
  7. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi: Tusivurugwe miezi michache kuelekea uchaguzi mkuu

    BALOZI NCHIMBI: TUSIVURUGWE MIEZI MICHACHE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa wanaojaribu kuhatarisha haki...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Dkt Nchimbi awahakikishia wananchi wa Tinde kuongezewa kituo cha Afya kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025

    Katibu Mkuu wa Chama cha mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akizungumza na Wananchi wa Tinde Shinyanga amemuagiza Waziri wa Tamisemi kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025 ahakikishe Moja ya maeneo yenye uhitaji wa Kituo cha Afya kiwe kimejengwa ili kurahisisha huduma kwa jamii. "Kuna...
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ashiriki mazishi ya mama wa Aboubakary Liongo

    Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi ya kisutu. Katibu Mkuu ameongozana na Katibu wa NEC...
  10. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Hapa Dkt. Nchimbi alitumia elimu ya body language au namna anavyowajua na kuwafahamu watekaji?

    Hizi ni kauli za Dkt Nchimbi -katibu mkuu wa CCM zikimuhusu Mwenyekiti mbowe na John Mnyika kuhusu masuala ya utekaji na mauaji 1."Na Mbowe alinieleza juu ya suala la Kibao, kwa kumtazama Mbowe hahusiki na tukio hili la utekaji." 2."Naye kwa kumwona tu, Mnyika hawezi kuhusika na utekaji."...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Dkt Nchimbi Katibu Mkuu CCM: Hadidu za rejea za Tume ya Kuchunguza Mauaji Holela Ziko Wapi?

    Nimefurahishwa na hatua ya Katibu Mkuu wa CCM kujitokeza na kuweka bayana mtazamo wa chama tawala cha CCM kinachosimamia serikali inayotuhumiwa kufanya madudu. Ni madudu kuhusu operesheni ya kutekwa, kuteswa na kuteketezwa kwa baadhi ya wakosoaji wa serikali inayofanyika kana kwamba Tanzania ni...
  12. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Rais Samia yupo kwa mujibu wa katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa katiba

    “Kuna vitu ukisema unavyojua kabisa haviwezekani, Rais Samia yupo pale kwa mujibu wa Katiba na atamaliza muda wake kwa mujibu wa Katiba, tunaweka uchaguzi miaka mitanomitano ili wale watakaokuwa hawaridhiki ndani ya miaka mitano wapate nafasi nyingine ya kuja kuchagua sio katikati ya msimu" “Na...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi aweka shada la mauwa kwenye kaburi la Shujaa Magufuli, ammwagia Sifa za Utumishi Uliotukuka!

    Ni jambo jema Kanisa Moja Takatifu La Mitume Mlale Unono 🌹🌹 --- Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa kazi kubwa anayoifanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ndiyo namna sahihi ya...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Ahadi ya Rais samia, Kigoma kuwa lango kuu inatekelezwa kwa vitendo

    AHADI YA RAIS SAMIA KIGOMA KUWA LANGO KUU INATEKELEZWA KWA VITENDO: NCHIMBI Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema ahadi ya kuufungua Mkoa wa Kigoma kuwa lango kuu la biashara inaendelea kutekelezwa kwa vitendo. Balozi Nchimbi amesema ahadi hiyo...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aina ya Watu wanaohudhuria Mikutano ya Dkt. Nchimbi huko Mikoani inafikirisha sana

    Ni dhahiri kwamba Emmanuel Nchimbi hana ushawishi wowote wa kisiasa ndani na nje ya ccm, hana ushawishi Jukwaani wala ofisini (Haifahamiki waliomteua walilenga nini), Matokeo yake ndio haya . Huu hapa ni Mkutano wa Lindi Angalia kwa Makini halafu Toa Maoni yako
Back
Top Bottom