Basi Lidhiwani.Jikite ktk mambo ya msingi u waste ur time kufikiria mambo ambayo hauyaelewi
Sawa.Fanyeni kazi, tuziache ndoto za Urais kwa sasa.
Ohoooo, Mwigulu Nchemba hapendi kusikia habari hizi atamuendea kwa yule mganga wake mwenye titi moja.
SamiaNani ambaye havimtoshi?
LissuNani ambaye havimtoshi?
2030 mtasusa tena?No reforms no election, no new constitution no elecyoon, no TL no election.
#Free Tundu Lisu
# New Constitution.
Vv
HAmna uchawa. Ila Nchimbi ni among ya candidates bora sana.Mmatengo anautaka uprezidaa kwa namna yoyote. Naona kasambaza machawa wapime upepo..!!
Msimtaje taje, mtamharibia ! Trends Reading: Japo Rais wa 2030 Namjua, Simtaji ili Kumlinda!. Be The First to Know Good News Kawe-2030, MB.ni Mwanamke!, Kawe Itapaa kwa Maendeleo!Yepi maoni yako?
😂😂😂Mmatengo anautaka uprezidaa kwa namna yoyote. Naona kasambaza machawa wapime upepo..!!
Unampigia 'promo' Mhaliiifu Samia?Fanyeni kazi, tuziache ndoto za Urais kwa sasa.