Mimi kwangu CCM hata awekwe malaika bado hatafanya vizuri kwa sababu ili ikubalike ni lazima utumie nguvu. Wananchi wameshaichoka.
Mkuu MachoMdili,
macho_mdiliko , kwanza naunga mkono hoja ya CCM kuchokwa!, Angalia mimi niliisema lini humu
CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!, ila pia pia napenda watu wakweli, pamoja na CCM kuchokwa hivyo ilivyochokwa, lakini Watanzania, wanaendelea kuichagua CCM mwaka hadi mwaka kwasababu, kwa Tanzania hii, bado hakuna mbadala wa kuipumzisha CCM!.
Kwanini CCM inaendelea kushinda chaguzi, licha ya kuwa ndio chanzo cha umasikini wa taifa letu, rushwa na ufisadi?! pia nikauliza
Licha ya CCM kuwa chanzo cha umasikini, ujinga, rushwa na ufisadi, kwanini CCM bado huwa inashinda chaguzi mbalimbali?
Ila bado narudi pale pale... Ni CCM, hivyo hafai.
Sio CCM ndio haifai, CCM ni chombo tuu, hakina makosa, wasiofaa ni viongozi wabovu wa CCM hawa waliopo sasa waliotuulia Watanzania 518 na wapo tuu bila hata kutoa pole, as if hao 518 waliokufa ni ma panya!.
Kwa kumtazama machoni kwa kauli na matendo, kuna mmoja hapendi kabisa kilichotokea!, akagundua bosi wake uwezo wake wa brain power na IQ ndio vile tena, akaamua kumsaidia!, matokeo sasa ndio haya sasa ya kuitwa Yuda!.
Mimi niko very honest kwa nchi yangu, Chadema walikuwa na fursa ile 2015,
GE2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ... but they lost it,
2025 ikatokea kama zali, kuna mtu very weak, hana uwezo wowote kulimiliki jukwaa, kichwani ndio vile !, ni jike la dini ile ,kutoka kule, asimame na dume la mbegu linalojua kumiliki jukwaa, Watanzania walivyochoshwa na wale jirani zetu, mtu mwenyewe ni kile chuma cha pua, halafu ni ile dini na lile dhehebu!, Watanzania gani wangechagua nani?, hili lilikuwa Bonge la fursa, mimi mwenyewe nimkabili yule mwamba nikamweleza kuhusu hili bonge la fursa
PreGE2025 - Hata Kusipofanyika Reforms, 2025 CHADEMA Ina Fursa!, Ila They Are Just Too Blind to See!, Hawajitambui! No Election ni Utopia!. Wake Up!
na hapa
PreGE2025 - Pascal Mayalla amshauri Lissu kutumia jukwaa la JamiiForums kusoma maoni ili kuondokana na siasa za harakati na kufanya siasa za mikakati
Kama Chadema wangeshiriki uchaguzi wa 2025, wangeingiza vichwa 100 bungeni, 2030, wangemaliza kazi
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!, sasa kama 2025 CCM itansimamisha Balozi, then Chadema wasubiri 2040 waje na kina Pambalu, kule ACT Nondo!.
P