Dkt. Mpango amkabidhi ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu Chamwino Dkt. Emmanuel Nchimbi

Dkt. Mpango amkabidhi ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu Chamwino Dkt. Emmanuel Nchimbi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mzee wangu Mpango kapumzike! sasa tena ikiwezekana nenda tu ulipotokea huko Kigoma nenda kafanye kilimo na ufugaji na kucheza na wajukuu zako!

Ila pakusema sema usiogope na wala usiwe kama wale wengine wanaleta uchawa na uzee wao!
===============
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akikabidhiwa Ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

 
Back
Top Bottom