dkt. philip mpango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana na Waziri wa Uchumi na biashara za kimataifa wa Ufaransa

    MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA AKUTANA NA WAZIRI WA UCHUMI NA BIASHARA ZA KIMATAIFA WA UFARANSA MHE. FRANCK RIESTER IKULU DAR ES SALAAM Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo Oktoba 19,2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa...
  2. B

    Kutoka Ufaransa: Makamu wa rais Dkt. Mpango akutana na Seneta Ronan Dantec

    30 Juni 2021 Paris , France Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango hii leo Juni 30, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na mwenyekiti wa kundi la maseneta wa kifaransa marafiki wa Tanzania Mheshimiwa RONAN DANTEC M. Ronan Dantec, sénateur de la...
  3. U

    Dkt. Mpango amuwakilisha Rais Samia kumbukizi ya mwaka mmoja tokea kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Piere Nkurunziza

    Wadau wa JF Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt Philip Isdor Mpango leo Juni 08,2021 amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani kwenye kumbukizi ya mwaka mmoja tokea kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi Piere Nkurunziza Kumbukizi hiyo iliyohudhuriwa na...
  4. U

    Uchaguzi 2020 Makamu wa Rais Dkt. Mpango ashiriki zoezi la upigaji kura Buhigwe

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzini na Makamo wa Rais wa Tanzania leo Mei 26, 2021 amepiga kura kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Buhigwe. Dkt Mpango amepiga kura hiyo akiwa kijiji anachotoka cha Muyama kilichopo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma
  5. Elisha Sarikiel

    Ikulu, Chamwino: Rais Samia Suluhu Hassan amwapisha Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Mubashara: Mhe. Dkt. Philip Isdori Mpango ameapishwa kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania; na Jaji mkuu wa Tanzania mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma katika lkulu, Chamwino Mkoanii Dodoma na kushuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, mhe. Samia Suluhu Hassan...
Back
Top Bottom