Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbrod Slaa, ametoa ufafanuzi kuhusu kauli ya No Reform, No Election, akisema kuwa si msimamo wa CHADEMA kususia uchaguzi bali kuzuia uchaguzi, na ni wananchi wenyewe ndio watakaoongoza zoezi...