dkt. slaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DodomaTZ

    DKT. Slaa: Rais kumuelekeza Mwanasiasa lugha ya kutumia siyo sawa, tunaingia kwenye mgogoro mkubwa

    Kauli ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa kufanyika Video: Jambo TV
  2. BARD AI

    Dkt. Slaa adai Kanuni za Uchaguzi Tanzania zimetungwa kinyume na Katiba

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbroad Slaa ameibuka na kukosoa kanuni za uchaguzi zinazotumiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuendesha chaguzi, akisema zimetungwa kinyume na Katiba ya nchi. Kupitia mahojiano na Mwananchi kwa njia ya simu jana, Dk Slaa ambaye aliwahi kuwa...
  3. JanguKamaJangu

    Dkt. Slaa aomba radhi kwa hoja yake “Ripoti ya CAG inapotoshwa’, Zitto Kabwe atoa neno

    Siku moja baada ya mwanasiasa Willbrod Peter Slaa kukosoa mchakato wa jamii kuichambua ripoti ya CAG kwa madai kuwa sheria hairuhusu kufanya hivyo mpaka Kamati ya Bunge iipitie, ameomba radhi kwa kueleza kuwa alikuwa anasimamia sheria ambayo haikufanyiwa kazi. Dkt. Slaa alinukuliwa akisema...
  4. JanguKamaJangu

    Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

    Picha: Dkt. Willbrod Slaa Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita. TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA “Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana...
  5. S

    CCM kumsifia Dkt. Slaa leo hii ni unafiki wa kiwango cha SGR

    Nashangazwa sana na sifa za kinafiki CCM wanazoompa Dr. Slaa leo hii wakati ni CCM hawa hawa walimuita muongo na mzushi wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Isitoshe, ni CCM hawa hawa kupitia serikali ya Kikwete, walimpiga Dr. Slaa virungu wakati wa maandamano ya CHADEMA mkoani Arusha na...
  6. J

    Musukuma: Tuliipenda CHADEMA ya Dkt. Slaa kwa sababu walipeleka bungeni hoja walizozitafiti kwa kina

    Mbunge wa Geita vijijini Dr Msukuma amesema kabla ya kuingia kwenye siasa alikuwa ni mfuatiliaji mzuri wa mijadala ya Chadema bungeni. Mijadala ya Chadema bungeni ilikuwa imeshiba na iliyofanyiwa tafiti za kutosha. Source: TBC
  7. Magazetini

    Dkt. Slaa: Serikali mmetunyima watanzania nafasi ya kumuombea baba yetu alipokuwa anaumwa

    Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye kongamano la kusheherekea urithi wa falsafa ya hayati Magufuli ameongelea mambo kadhaa ikiwemo serikali kuwanyima taarifa na fursa ya kumuombea Magufuli. Pia Dkt. Slaa amewapongeza watanzania kwa walivyoonesha upendo wao na kushikamana kama...
  8. S

    Ujumbe kwa Dkt. Slaa: Uungwana ni kitendo, jitokeze ukamtembelee Freeman Mbowe

    Ni hivi karibuni ulisikika kwenye vyombo vya habari ukikasirishwa na watu wanaosema "Mbowe siyo Gaidi" ukakasirishwa na wafuasi waliokuwa wanahudhuria Mahakamani wakati kesi ya Mbowe na wenzake ikiendelea, mwisho ukasema swala la Mbowe ni Gaidi au siyo Gaidi iachiwe Mahakama. Ni takribani siku...
  9. H

    Dkt. Slaa amesahau Katiba au anapotosha makusudi?

    Leo mtandao wa Mwanahalisi umemnukuu Dr. Wilbroad Peter Silaa akisema kwamba wananchi wanaosema kuwa 'Mbowe sio Gaidi' wanamkera Sana kwani hawapaswi kusema hivyo Ila waiachie Mahakama! Hakusoma lolote kuhusu wale wananchi wengine ambao wao Kutwa kucha wanasema Kinyume chake yaani wanasema kuwa...
  10. Ng'wanamangilingili

    Balozi Dkt. Slaa na siasa za 2025 na kuendelea

    Inaelekea ukaonekana ni uzi wa ambao ni ngumu kuuelewa kama lilivyo lile neno refu kuliko yote la lugha ya kimalkia yaani Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosi. Nina iangalia kwa kuichungulia 2025 kuelekea mbio za urais, na balozi dkt w.slaa anaweza akaja kivingine na kuushangaza umma wa...
  11. K

    Dkt. Slaa Uhuru wa kufanya Siasa umerudi, una hoja yakusimama jukwaani?

    Dkt. Slaa alikimbia mapambano kwa ahadi ya Ubalozi. Alipofika huko akaacha kukemea maovu na kubariki kila kilichofanywa na mteule wake. Nadhani aliamini mapambano ya haki yasingewezekana tena, aliamini mijadala huru haitakuwepo Tena. Leo tunajiuliza anaweza kujirudi nakuhubiri yanayokinzana na...
  12. M

    Dkt. Slaa katika uzinduzi wa jengo la kuhifadhia madawa CCBRT

    Mheshimiwa Dr. Slaa kumbe alipokuwa nje ya nchi alikuwa akishughulikia mradi wenye manufaa kwa akina mama na watoto. Mungu ambariki kiongozi shupavu na mvumilivu. Rais Kikwete na Dr Slaa Wakiwa Katika Uzinduzi wa Jengo bohari ya dawa CCBRT Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi...
Back
Top Bottom