dna

  1. Crocodiletooth

    DNA zetu za kiafrika

    Kama ulikua hujui kuwa unaweza kumjua mtoto ni wako au sio wako bila kupima DNA wacha nikufahamishe;- Watu wengi huamini kuwa njia ya kicheki DNA pekee, Ndio inayo tambulisha kuwa mtoto sio wako, Jambo ambalo kiuhalisia sio kweli kabisa, Sasa leo wacha nikujulishe njia nyengine mbili...
  2. GENTAMYCINE

    Haya kwa wale wanaume ambao mnataka kujua kama watoto mlionao ni wenu au mmebambikiwa kuleni chuma hiki cha DNA ya bure na ya asili

    Leo wala sitaki kupoteza muda ni kwamba kama Wewe ni Mwanaume (Baba) unataka kujua Mtoto uliyenae ni Wako au siyo Wako fanya hivi tafadhali kwani hii ni DNA ya Asili na ya bure ambayo imetumika sana huko nyuma na Wazee wetu na bado Kwingineko Afrika inatumika. Haya kama Mtoto wako ana ule Umri...
  3. R

    Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
  4. W

    Kuna haja ya kuanzisha utamaduni mpya wa kuchukulia ni jambo la kawaida mwanamke kuzaa, kuwepo sherehe, pongezi na zawadi baada ya DNA TEST

    Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje. Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
  5. Manfried

    Hakikisha hautoi hela yoyote ya matumizi bila kupima DNA kwanza .

    Wake za watu wanagawa Sana kiukweli, hivyo jitahidini kupima DNA la sivyo mtawalelea Wahuni mimba na watoto.
  6. Magical power

    Wanasayansi wameshindwa kuzichakata DNA katika hali ya kiroho

    DNA, VINASABA Kila mwanadamu amebeba taarifa za ukoo wake taarifa za vizazi na vizazi vya mababu zake, hizi DNA wanasayansi wamejitahidi kuzisoma na kuzichambua lakini wameshindwa kuzichakata katika hali ya kiroho zaidi. Kama katika familia yako au mzazi wako ni mganga ama mchawi basi tambua...
  7. KikulachoChako

    Pendekezo: Itungwe sheria ya upimaji wa DNA kwa mtoto. Sheria iwe lazima pindi tu mtoto anapozaliwa

    Habari wakuuu..,.... Hali ilipofikia sio kuzuri.......palipofikia tena sio kwa kuoneana aibu.......watu wanalia kwa kutoa milio wengine wanalia kwa vibration na wengine wagugumia ndani ndani...... Siku hizi kitanda kinazaa haramu kwa kuwa wanandoa wameamua kuwa wana haramu...... Kwa hali...
  8. Pdidy

    Pimeni dna acheni kulalamika ovyo nje

    unajua limezuka Wimbish la vijana kuzaa ovyo kama ufahari sasa wamefika wakati bar kila kijana analalamika aisee m yule mtoto xxx sijui kama sijaibiwa hii n dhambi msiumize kichwa kama mnaona usumbufu ama maumivu fanyeni haya najua itaumiza ila tumechoka na malalamioo yenu Nenden na watoto...
  9. L

    Albert Chalamila: Mwanaume Achana na Mambo ya Kupima DNA, kikubwa Shukuru Mkeo Kazaa Binadamu

    Ndugu zangu Watanzania, Haya ni Maneno ya Hekima ya Mheshimiwa Albert Chalamila,Mkuu wa Mkoa wa Dar Salaam.ambaye amepata bahati kubwa sana ya kuongoza takribani majiji matatu Makubwa hapa nchini, yaani Jiji la Mbeya,Mwanza na Sasa Jiji la Dar es salaam. Kumbuka pia ameongoza hata mkoa wa...
  10. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ni Sawa umeenda kupima DNA Na ukakuta mtoto sio wako utafanyaje?

    Kheri Kwenu mabibi na mabwana. Moderator msifute huu Uzi hatutaelewana kabisa. Nikweli natambua yakuwa gharama za kupima DNA sio kubwa ukilinganisha na gharama za kuleta mtoto Ambae sio wako. Yaani utunze mimba,gharama za kujifungua, malezi ya mtoto,usomeshe Hadi chuo kikuu mtoto apate kazi...
  11. Bob Manson

    Why DNA tests are BANNED in Israel?

    I am interested in hearing your thoughts on the matter. Do you believe there is a reason for the ban on DNA testing in Israel?
  12. Mjukuu wa kigogo

    DNA yaonesha watoto 3 wa Mchezaji wa Super Eagles, Michael Kayode siyo watoto wake kibaiolojia

    Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
  13. NCHABIRONDA

    Naomba kujuzwa gharama za kipimo cha DNA

    Habari wanachama wa JF, Kwa mwenye uelewa wa kitengo hiki naomba anijuze gharama za kupima kipimo cha DNA.
  14. Mjanja M1

    DNA ni jambo la muhimu sana kwa hivisasa

  15. 2 of Amerikaz most wanted

    DNA test should be conducted immediately after child birth

    If possible it should be conducted during pregnancy so the man can hands off the woman before child birth Let the real father take over. Women needs to start facing the consequences for their cheating.
  16. M

    Kijana wa Kiyahudi afanya uchunguzi wa DNA na kugundua hana uhusiano wowote na Israel ya kale

    Huwa tunawambia mara kwa mara, kuwa hawa akina Netanyahu hawana uhusiano wowote wa maana na wana wa Israel wa kale. Hawa ni kizazi cha wasio kizazi cha Yakobo kilichokumbatia utamaduni wa kiyahudi na matokeo yake baada ya miaka mingi kupita wakaanza kuamini kuwa wao ni uzao wa yakobo, Isaka na...
  17. M

    Nini hubadilisha DNA za Msukule?

    Naandika Kwa uzoefu wa mashauri mawili yaliyotokea katika Mikoa miwili Kwa nyakati tofauti. Katika tukio la kwanza Kuna mtoto alifariki akazikwa .Baada ya miaka 2 mtoto huyo alionekana mbali na Mkoa aliofia akidhurura mitaani. Baadaye ndugu wakajitokeza kudai kuwa huyo ni mtoto wao...
  18. Replica

    Mkemia Mkuu: Idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA imeongezeka nchini

    Mkemia Mkuu wa Serikali ya Tanzania Dr. Fidelis Mafumiko amesema idadi ya Wanaume wanaojitokeza kupima DNA (kuhakiki uhalali wa Watoto wao) imeongezeka kwa sasa Nchini Tanzania tofauti na miaka miwili hadi mitatu iliyopita. Kwenye mahojiano mafupi na DW, Dr. Fidelis amenukuliwa akisema “naweza...
  19. Sean Paul

    Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

    Habari wana nzengo, Sheria ya kupata kipimo cha vinasaba (DNA) hapa Tanzania ina mchakato mgumu kidogo. Ni kwamba ni ofisi maalum zinaweza kuomba kupata vipimo hivyo tu, katika kutekeleza majukumu yake. Either ni mahakama katika kutatua mgogoro, polisi katika uchunguzi, ofisi ya ustawi wa Jamii...
  20. DR Mambo Jambo

    TAFAKURI: Utajisikiaje endapo utaambiwa Wazazi uliohisi wamekuzaa na kukulea kwa miaka mingi si wazazi wako halisi?

    Katika pita pita zangu na tafakuri za hapa na pale kwenye kichwa changu. Nikawaza kuwa itakuwaje endapo Utapata Taarifa kuwa wazazi ulionao/Waliokulea Sio wazazi wako halisi Huenda umekuwa ukijua kuwa ni wazazi wako kwa Takribani miaka 50s, 40s ,30s au hata 20s ya kuishi duniani.. Je...
Back
Top Bottom