Ndugu yenu GENTAMYCINE (kutoka Mkoani Mara) nawashaurini Vumilieni tu Kuchapiwa Wake zenu na Kulea Mimba za Wanaume Wenzenu na Watoto watakaozaliwa ni Jambo la Kawaida mno.
Na nasikia baadhi yenu kama mkigundua (baada ya kupima DNA) kuwa Watoto siyo Wenu (Mmechapiwa) kwa Hasira wakiwa bado ni...
Wanaume tuache kuamini mwanamke eti mkeo kisa mpo kwenye ndoa unaona mimba hio na wewe unaona ni yako.
Kwani ulimuoa bikira. Sasa kama ulimuoa umekuta tobo tuu inamaana hakuwa mwaminifu kwa MUNGU mpaka akatoa sasa iweje awe muaminifu kwako?
Tuache kuamini mwanamke anakuambia mimba ua mtoto ni...
Moja ya fuvu katika maonesho Makumbusho Berlin
Watafiti wa Kijerumani wamefanikiwa kupata kwa uhakika ndugu wa watu ambao mafuvu yao yalichukuliwa na Wakoloni wa Kijerumani kwa ajili ya "utafiti".
Watafiti hao wanasema wameweza kupata ndugu wa watu toka jamii ya Wachagga ambao mabaki ya ndugu...
Habari za maisha wakuu
Tulitengana akaondoka na mtoto akaenda kukaa kwa dada yake baadae alipata mtu mwingine akamuoa siku ya ndoa yake aliambiwa na dada yake mkubwa pamoja na mume wake huyo kua anipigie simu kwamba anaolewa na kama nikitaka kumsalimia mtoto nimpigie dada yake na sio yeye...
Dar es Salaam. Kisu kinachodaiwa kutumika katika mauaji ya Aneth Msuya, mdogo wa aliyekuwa mfanyabiashara maarufu wa madini mkoani Arusha, Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya, kimewasilishwa mahakamani na kupokewa na mahakama kama sehemu ya vielelezo vya upande wa mashtaka katika kesi ya...
Serikali ya Uganda imewashauri wanaume kuacha kufanya vipimo vya vinasaba (DNA) kubaini ukweli wa uzazi, ikisema kuwa haina manufaa kwa ustawi wa nchi hiyo.
Waziri wa Afya Msingi wa nchi hiyo, Margaret Muhanga, anasema haijalishi kama wanaume wanaolea watoto ni baba zao kwa damu au la, na...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Huko nchini Uganda kimeuma sawasawa. Ndivyo unavyoweza kusema. Mashirika mbalimbali ya habari yakiwemo BBC na DW yameripoti kwamba kasi ya upimaji wa DNA kwa wanandoa wa kiume umepamba moto kwa siku za hivi karibuni na...
Idadi ya wanaume wanaotafuta vipimo vya vinasaba (DNA) kwa watoto wao imeongezeka, msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani amesema.
Simon Mundeyi amesema asilimia ya wanaume wanaodai huduma ya DNA kwa watoto wao imeongezeka kwa asilimia 70. "Hivi majuzi, idadi ya watu wanaoomba huduma za DNA...
Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA.
Majibu yakatoka watoto wote si wake.
Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu.
Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
Angalia mradi wa kifisadi alioingia January na Mabinzi Chande kuwapa Mahindra tech mabilioni ya pesa eti kuleta ufanisi Tanesco ni nonsense na wizi wa mali za umma.
Pesa hizo zingetumika kuunda Dna database ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kudhibiti uhalifu.. Mwizi akikamatwa anachukuliwa Dna...
Wakuu Salam,
Kuna ndugu yangu ananiomba ushauri kwamba mke wake amejifungua ila anahisi mtoto si wake, hivyo anataka kupima DNA ili ukwel ujulikane.
Nimemwambia kama utani, kwamba wewe unajua vip kwamba baba ako ndio ni baba yako kweli?
Angepima DNA ingekuwaje, jamaa kaniletea blah blah za...
Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao.
Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
INTRODUCTION
Mimi ni mwanaume
Nina miaka 33
Ni mtumishi wa Halmashauri moja wapo nchini
Nina mabinti wawili wa kwanza miaka 8 na wapili miaka mi3.
SCENARIO
Binti wa kwanza. Huyu ni mtoto wangu pure, yaani kila kitu ni Mimi. Ni copy ya sura na vitu vingi sanaa.
Binti wa pili.
Huyu ndio nahisi...
Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu.
Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana.
Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi...
Vipimo hivi vimekuwa ghari Sana na hata kupatikana kwake kuna mlolongo mrefu Kwa mujibu wa taarifa ambazo tunazisikia,na inasemwa kuwa mara nyingi wahusika wanalofanya hilo zoezi mara nyingi hawatoi majibu halisi Kwa kuhofia ndoa kuvunjika.
Kama kweli tunataka jamii ambayo itawajibika Kwa...
Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa...
Nisiseme mengi, kuna clip inazagaa mwanamke mmoja anajisifia kalea mtoto kwa kutumia baba watatu na hawajuani. Yaan anamaanisha mababa watatu wamelea na kuhudumia mtoto kila mmoja akijua huyo mtoto ni wake, mchezo mzima kacheza huyo mwanamke.
Najua hapo alikua anaigiza tu ila hio clip...
Narudia tena either you are a man or woman na ushajifahamu akili ipo kumkichwa usigawe DNA Yako kizembe.
Kwa lugha nyepesi usizae kiholela na Watu wasiojielewa ni hayo tu ndugu zangu.
Happy boxing day.
Licha ya kipimo cha vinasaba kuwa uthibitisho wa mwisho kwa wazazi wanaotaka kuthibitisha uhalali kwa watoto, mara kadhaa maofisa ustawi wa jamii huingia kwenye lawama majibu yanapotoka.
Hayo yameelezwa na Ofisa Ustawi wa Jamii wa Mkoa wa Dar es Salaam, Namara Elisha wakati wa mafunzo ya...
Bwana Ali ndoa yake ina mwaka wa tano, tangu ndoa ikiwa na miaka mitatu ugomvi usio na ukomo ulianza. Ali alikuwa akimtuhumu mkewe Asha kwa kutembea na bosi wake.
Mtoto wao ana mwaka wa pili sasa, Ali anasisitiza wakapime vinasaba lakini mama amekuwa mbogo, anasema bora apewe talaka lakini siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.