Habari za majukumu wakuu?
kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria, ya kuwa kupima DNA iwe ni bure na Hata mama akijifungua mtoto apimwe DNA na kujua uhalisia wa baba...