Kwanini serikali isianzishe Sheria ya kupima DNA bure mara baada ya mwanamke kujifungua?

kadiri kasimba

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
588
Reaction score
1,150
Habari za majukumu wakuu?

kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria, ya kuwa kupima DNA iwe ni bure na Hata mama akijifungua mtoto apimwe DNA na kujua uhalisia wa baba mzazi? Hii mnaionaje wakuu?
 
Kupima ndio unaleta hataruki! Mtoto je atalindwa na nani? Hata hivyo mawazo yako ni mazuri sababu itafanya kina mama waache kubambikizia watu watoto
 
MTOTO + KUPIMA DNA = Ongezeko la watoto wa mitaani na wanaoishi kwenye mazingijra magumu.
 
Habari za majukumu wakuu?

kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria, ya kuwa kupima DNA iwe ni bure na Hata mama akijifungua mtoto apimwe DNA na kujua uhalisia wa baba mzazi? Hii mnaionaje wakuu?
Kitanda hakijawahi kuzaa kharamu.Tulia wewe!
 
Habari za majukumu wakuu?

kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria, ya kuwa kupima DNA iwe ni bure na Hata mama akijifungua mtoto apimwe DNA na kujua uhalisia wa baba mzazi? Hii mnaionaje wakuu?
Serikali haianzi kutoa huduma ya ukaguzi wa DNA wa bure mara baada ya kujifungua kwa sababu ya sheria na taratibu zilizopo ambazo zinahitaji usaidizi wa mahakama na kudhibitiwa kwa uangalifu.

Sheria ya DNA na taratibu nchini Tanzania: Ushahidi wa DNA unaweza kutumika tu pale mahakama imeamuru uchunguzi, sio kwa hiari binafsi ya mtu.
Pia Kupima DNA kunahitaji idhini, sampuli lazima ichukuliwe na mtaalamu aliyesajiliwa (sampling officer) kwa idhini ya mahakama na sio familia moja kwa moja.
 
Usikatae au kuonesha haiwezekani.Jikite kwenye uwepo wa sheria yenye kushawishi maelekezo.
 
Habari za majukumu wakuu?

kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria, ya kuwa kupima DNA iwe ni bure na Hata mama akijifungua mtoto apimwe DNA na kujua uhalisia wa baba mzazi? Hii mnaionaje wakuu?
Huu ushauri wako una mapungufu. Je baada ya kumpima huyo mama na mtoto matokeo yake anapewa nani? Vipimo hivi havitolewi hovyo hovyo pasina sababu za kuridhisha. Iwapo baba ana wasiwasi na huyo mtoto anaweza kuomba vipimo hivyo. Si mama na mtoto pekee watakaotoa sampuli zao bali pia na baba ambaye atakuwa na wasiwasi wa kubambikizwa mtoto. Iwapo watu wawili wanamgombea mtoto huyo basi wanaweza kuomba kupatiwa vipimo hivyo ili kuthibitisha baba halisi wa mtoto. Katika tulio kama hili, wote wanne huchukuliwa sampuli zao. Vipimo hivi vina gharama zake na si rahisi vitolewe bure tu.
Wazee wetu walikuwa na busara. Mambo haya tuchukue hekima vinginevyo haya matukio ya vifo kwa ajili ya wivu na mapenzi yatamaliza vijana wetu.
 
Habari za majukumu wakuu?

kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria, ya kuwa kupima DNA iwe ni bure na Hata mama akijifungua mtoto apimwe DNA na kujua uhalisia wa baba mzazi? Hii mnaionaje wakuu?
Kungekuwa na majanga makubwa sana
 
Habari za majukumu wakuu?

kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria, ya kuwa kupima DNA iwe ni bure na Hata mama akijifungua mtoto apimwe DNA na kujua uhalisia wa baba mzazi? Hii mnaionaje wakuu?
Fatherhood is social siyo lazima uwe mtoa mbegu
 
Habari za majukumu wakuu?

kutokana na kuibuka Kwa wimbi la wanaume kubambikwa watoto ambao sio wao na kuwalea, na kuleta taharuki au sintofahamu kwenye mahusiano, kwanini isipitishwe Sheria, ya kuwa kupima DNA iwe ni bure na Hata mama akijifungua mtoto apimwe DNA na kujua uhalisia wa baba mzazi? Hii mnaionaje wakuu?
Wanawake wanalalamika wanaume sio waaminifu, ila ukigusa swala la DNA wanakuwa wakali utawasikia kitanda hakizai haramu na vijana siku hizi hawataki kulea mabao ya wenzao.

Hiyo sheria haipendwi na wanawake, nimekuwa nikiangalia baadhi ya podcast US ,kuna wanaharakati hawataki kuisikia.
 
Back
Top Bottom