dna

  1. Bioweapons: How safe are we?

    You can take someone's DNA and design a weapon that can kill him. People are therefore warned not to share health data harphazardly because it can be used to program new bio-weapons to target them. US Rep.Jason Crow warned that bio-weapons are now being made that use a target's DNA to only...
  2. Zijue taratibu za kupima DNA, gharama ya kipimo ni Tsh.100,000/=

    Mkemia Mkuu wa Serikali, Dk Fidelice Mafumiko amesema kuwa anayetaka kupima vinasaba (DNA), iwapo ana wasiwasi na mtoto anapaswa kufuata taratibu, badala ya kwenda moja kwa moja kwenye ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA). Akizungumza na waandishi wa habari katika...
  3. DNA Unaweza kutumika Kama Flash ( Unlimited Storage)

    DNA inaweza kutumika kuhifadhi movies , songs na photos Bila kikomo. Teknolojia hii imegunduliwa Cambridge University. CHEKI VIDEO
  4. Huu ndio utaratibu wa kufanya vipimo vya DNA kutambua kama mtoto ni wako au la!

    Suala la kupima vinasaba kwa baadhi ya wazazi limekuwa la kawaida katika Dunia ya sasa, zamani ilikuwa ikitumika mara nyingi kama kuna majanga au watu waliopoteana muda mrefu lakini siku hivi mambo yamebadilika, uaminifu umekuwa mdogo ndio maana matumizi ya DNA yamekuwa mengi. Wakili Bashir...
  5. Namna ya Kupima Vinasaba (DNA) Kirahisi

    Hii inafanya kazi kwa Watoto wa kiume umri kuanzia miaka 9 na kuendeleea... Chukua simu yako yenye face recognition, iwe Apple, Xiaomi n.k Mchukue mtoto wako set face yake kwenye simu yako. Lock [emoji357] simu then wakati wakufungua tumia face yako wewe isipofungua jua Asilimia za huyo mtoto...
  6. J

    #COVID19 Chanjo za COVID-19 haziathiri DNA kwa namna yoyote

    Kumekuwa na mining'ono kuhusu chanjo za COVID-19 kuathiri DNA. Lakini je, hili lina ukweli wowote? Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), hakuna chanjo ya COVID-19 inayoathiri au kuingiliana na DNA kwa namna yoyote ile UNICEF inaeleza kuwa chanjo hufunza seli...
  7. Ni kosa kumuuliza Mwenzi kuhusu uhalali wa watoto wako?

    Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao. Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na familia nyingi pale inapobainika kuwa mtoto si wa baba mwenyenyumba. Hii ni kwa sababu hakika ni...
  8. Kwa Dunia ya Sasa DNA ni muhimu. Msipuuze!

    KWA DUNIA YA SASA "DNA" NI MUHIMU. MSIPUUZE! Na, Robert Heriel. Unajua kuna watu wanafikiri kizamani Sana, watu hawa hawakubali kuwa Dunia inabadilika. Watu hawa huitwa CONSERVATIVE, yaani wasiobadilika, au wasiokubali mabadiliko. Dunia ya Sasa ni tofauti na yazamani Kwa mambo mengi...
  9. Sitofanya upuuzi wa kwenda kupima DNA kwa mtoto aliyezaliwa na mke wangu wa ndoa

    Ni upuuzi wa hali ya juu sana kwenda kupima D.N.A kwa kigezo cha kutaka kuhakikisha eti kama mtoto ni wako a sio wako. Watu wanatafuta watoto kwenye ndoa zao wewe unapata unajifanya kwenda kufanya DNA kutaka uhakika. Tulipopata mtoto wife akaniuliza kimasihara kwamba mtoto hajachukua sura...
  10. R

    Taarifa kwa CCM, Mutungi, Polisi and allies: Chadema genome has already been incorporated into Tanzanians' DNA

    Press ya Mnyika imesema kuwa Mtungi na CCM wana mpango wa kuifuta Chadema. Mtungi, CCM, Polisi et al, fahamu kuwa Chembehai (DNA) ya CHADEMA imeshaunganishwa (INCORPORATED) na chembehai za watanzania. Hivyo hilo mnalotaka kulifanya mnajisumbua sana sana mtaleta matatizo na sintofahamu, in the...
  11. Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  12. Je, inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae baba yake ameshafariki?

    Habarini wapendwa Doctors na wakemia, Napenda kujua je inawezekana kumfanyia DNA mtoto ambae babaake ameshafariki ili kujua ni kweli aliekufa ni baba halisi pindi mtoto anapoletwa na mama ambae anadai alizaa na marehemu alipokua hai. Je, ni ndugu yupi anaweza kufanya hivyo vipimo? Je, ni bei...
  13. Hai: Aliyekuwa Diwani wa CHADEMA aachiwa huru kwa tuhuma za kumbaka Mwanafunzi baada ya DNA kuonesha Mtoto aliyezaliwa sio wake

    Mahakama ya Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, imemwachia huru diwani wa zamani wa Masama Mashariki (CHADEMA), John Munisi, ambaye alikuwa akikabiliwa na kesi ya kubaka na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa Shule ya Sekondari Marire. Akisoma hukumu hiyo Leo, Hakimu Mkazi wa Wilaya...
  14. Kauli za wanawake wakiwa na hasira zatajwa kuwa sababu ya wanaume kupima DNA

    Mwanasheria wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Abeid Kafunda ametaja baadhi ya mambo yanayochangia wazazi wanaume kutaka kujua uhalali wa mtoto au watoto kwa kutumia kipimo cha vinasaba (DNA). Kafunda alilieleza HabariLEO ofisini kwake jijini Dar es Salaam kuwa mambo hayo kuwa ni...
  15. Hii njia Unaweza kuidharau lakini ndio pekee ya kuwa na uhakika mtoto ni wako bila DNA

    Mzuka wanajamvi! Ni hivi unamchukua waifu ama demu wako mnaenda mbali ama maporini huko uliposhaanda na kujenga nyumba. Una hakikisha umenunua msosi wa nguvu na mahitaji yote yatakayowatosheleza miezi miwili. Pia huko mnapoenda unahakikisha kuna fensi na geti kali. Kabla hamjaingia humo...
  16. Vipimo vya DNA vyaleta kilio kwa 'Wabeba boksi' wanaotaka kuleta familia zao ulaya

    Mzuka wanajamvi Katika sheria ya haki za binadamu zinaruhusu muamiaji katika nchi zingine uwe mkimbizi wa kisiasa ama unafanya kazi ama kuishi kiuhalali katika nchi nyingine kupeleka familia yake ambao uliiiaacha kwenye nchi yako. Unaruhusiwa kumleta mke na watoto chini ya mia 16 wako wa...
  17. Ni mapema kiasi gani unaweza mpima mtoto DNA?

    Habari wataalamu wa Masuala ya Afya. Ulizo langu ni kuwa, Je inawezekana kumpima mtoto DNA siku moja baada ya kuzaliwa? Binafsi sio mtaalamu wa masuala ya Afya nimeona ni vyema kutafuta jawabu lenye uhakika wa kitaalamu zaidi. Kama haiwezekani, basi ni muda upi unakuwa ni sahihi kiafya kumpima...
  18. Maiti ya kichanga yafikisha siku 40 mochwari kusubiri DNA

    Mgogoro kati ya uongozi wa kituo cha afya Nguvu Kazi kilichopo Nyeburu, Chanika mkoani Dar es Salaam na wazazi umesababisha maiti ya mtoto mchanga kukaa mochwari kwa siku 40. Mgogoro huo ulianza baada ya mama wa mtoto huyo Maisha Ally kujifungua Septemba 7 kituoni hapo na kupewa taarifa kuwa...
  19. Je, wajua gharama za upimaji wa vinasaba (DNA) nchini Tanzania?

    Gharama za upimaji wa vinasaba kwa Tanzania ni shilingi laki 1 kwa sampuli ya mtu mmoja. Hii inamaanisha kuwa kwa sampuli za watu 3, yaani baba, mama na mtoto gharama itakuwa jumla ya shilingi laki 3.
  20. Nafasi ya Mamlaka kwenye mchakato wa upimaji wa Vinasaba vya Binadamu (DNA)

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, misingi ya Sheria ya Usimamizi wa Vinasaba namba 8 ya mwaka 2009 inaeleza umuhimu wa kushirikisha upande wa tatu Upande huo huweza kuwa Jeshi la Polisi, Mahakama, Mwanasheria au Ustawi wa Jamii Mamlaka hizo huandika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…