dodoma jiji

Dodoma Jiji Football Club is a Tanzanian football club based in Dodoma City.
The club won promotion to the Tanzanian Premier League for the 2020–21 season.

View More On Wikipedia.org
  1. John Haramba

    Matokeo mabaya yasababisha Dodoma Jiji kumfukuza kazi Kocha Mbwana Makata

    Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022. Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya mwendelezo mbaya wa matokeo ya timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.
  2. ESPRESSO COFFEE

    Yanga SC 4-0 Dodoma Jiji | Benjamini Mkapa | Ligi kuu NBC

    Katika NBC Premier League, leo tunafunga mwaka 2021 kwa mechi baina ya vinara Yanga Sc dhidi ya Dodoma Jiji FC . Yanga wanataka alama tatu ili waendelee kujikita kileleni mwa msimamo wakati Dodoma Jiji nao wanazitaka alama tatu ili wapanda mpaka nafasi ya tatu. Mechi hi itapigwa katika dimba la...
  3. M

    Kama 99.9% ya Viongozi wa Dodoma Jiji FC akina Mbunge Mavunde na Kunambi ni Yanga SC lia lia, leo mnategemea kabisa Yanga SC isishinde Goli nyingi?

    Dodoma Jiji FC kabla ya Kucheza na Simba SC kuanzia Msemaji wao, Mlezi wao Mkuu na Mbinge Antony Mavunde hadi Kiongozi wao Mwandamizi Kunambi walikuwa mara kwa mara wakizungumza, wakiitishia Simba SC huku wakiikamia ile mbaya Mechi husika. Je, mmeshajiuliza ni kwanini Viongozi hawa hawa...
  4. C

    Kutana na walezi wa Biashara na Dodoma Jiji wanaoshangaza mno

    Mlezi mmoja team yake ili struggle kupata nauli ya kwenda Djibout na wachezaji watano hawakuwa na passport wakafika Djibout siku ya mechi wakashinda wakarudi dar wakashinda leo wako round ya kwanza ya kombe la afrika shirikisho, mlezi hakutoa hata senti moja kuwasaidia usafiri wala kusaidia hata...
  5. M

    Huyu Admini wa Dodoma Jiji FC ana utani na nani kwa hili Fumbo alilolitoa baada ya Wazambia kutupa raha wana Simba SC leo?

    "Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?" Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC. Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
  6. J

    Mbunge Mavunde aanza kuboresha miundombinu ya Viwanja vya Michezo vya Shule za Msingi na Sekondari Dodoma Jiji

    MBUNGE MAVUNDE AANZA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIWANJA VYA MICHEZO VYA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI DODOMA JIJI. Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ameanza kuboresha miundombinu ya viwanja vya michezo katika shule za Msingi na Sekondari za Jiji la Dodoma kwa kulenga la kukuza...
  7. GENTAMYCINE

    Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  8. Ghazwat

    Simba SC 3 - 1 Dodoma Jiji FC | Vodacom Premier League | Benjamin Mkapa

    Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo Aprili 27, 2021 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo Vinara wa Ligi, Mnyama Mkali Simba SC anapepetana na Dodoma Jiji FC. Mchezo inatarajiwa kuwa kali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku kila timu...
Back
Top Bottom