dokta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LIKUD

    Huyu ni aina ya mwanamke ambae ninaweza kumuhonga milioni na kuendelea

    Ndani ya nafsi ya Kila mwanaume zimewekwa taarifa kuhusu mwanamke anae tamanisha, hamasisha na kuvutia kufanya nae sex. Kuna mwanamke ukimuangalia tu unajua yupo vizuri kitandani. Mtazame Aunty Ezekiel Jack Pemba alifaidi Sana. # Her eyes, the way she talk, the way she look, her rudeness...
  2. Kasomi

    Joseph Kasheku Musukuma achukua Fomu ya kugombea Uspika

    Mbunge wa jimbo la Geita vijijini Dr Joseph Kasheku Musukuma amechukua Fomu ya kugombea uspika wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika ofisi ndogo ya CCM Lumumba Dar es salaam
  3. nyboma

    Naona Rais Samia anarudisha kwenye mfumo taratibu taratibu watu waliotumbuliwa

    Hii inanipa tafasiri ya kwamba ingawa alikuwa Makamu wa Raisi enzi za Hayati Magufuli pia walikuwa hawaelewani yaani walikuwa ni kama maji na mafuta. Hapa chini tunaona Mama kamrudisha Dr. Baghayo Abdallah Saqware kuwa Kamishina wa Mamlaka ya usimamizibwa Bima Tanzania (TIRA) ambaye...
  4. RUSTEM PASHA

    Swali kwa DPP, ikiwa Marehemu alinyongwa na dokta kuthibitisha alikufa kwa kukosa hewa, Je damu iliyoonekana kwenye fulana ilitoka wapi?

    Hili ni swali ambalo kila mwenye akili timamu anapaswa kujiuliza. DPP kathibitisha kulingana na ushahidi aliopelekewa kutoka police, kuwa marehemu alikufa kwa kunyongwa kule Iringa, ambae alikuwa kada wa CCM na mgombea udiwani 2020. Suali nikwamba. "Kama marehemu alinyongwa, na akafariki kwa...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo

    Habari za asubuhi wadau. Hapa Marangu Mamba Komakundi kibaridi ni kikali 12 centigrade. Wapambe ni wengi nyumbani kwa Dokta Kimei hapa baada ya kujua Dokta atachukua fomu ya Ubunge Jimbo hili la Vunjo kupitia CCM. Wapinzani wake wengi bado ni wachovu kama DC wa Zamani Chonjo. Kila la heri...
  6. I

    Dokta Jakaya Kikwete: ‘No way’

    wakati Afisa Mhamasishaji wa Yanga Afrika akifungua halfa ya mchakato wa utiaji saini wa makubaliano ya mabadiliko ya mfumo kati ya Yanga, GSM na La Liga, amemtaja Rais Mstaafu Dokta Jakaya Mrisho Kikwete kama Rais kipenzi cha Watanzania. Akiwa amekaa katika meza yake, huku kamera zikimmulika...
  7. JOTO LA MOTO

    Simulizi: Dokta Ivo (Dr. Evil)

    TITLE: DOKTA IVO MTUNZI: JOTO LA MOTO SEHEMU YA KWANZA NJE-KUNDUCHI BEACH HOTEL-KWENYE BWAWA LA KUOGELEA-MCHANA. KAZI, kijana mtanashati, miaka 35,akiwa amevalia bukta ndefu ya bluu iliyobana sambamba misuli yake ya miguu, huku akiwa kifua wazi anatembea pole pole kuelekea kwenye bwawa la...
Back
Top Bottom