Baada ya dollar ya Marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muda huu naandika nakala, hii imefikia 2375 huku ikitarajiwa kushuka zaidi siku zijazo.
Kulikoni nini kimetokea? Hii ina maana kwa mtu aliyenunua dollar wiki...