Dollar (symbol: $) is the name of more than 20 currencies. They include the United States dollar, Australian dollar, Canadan dollar, Hong Kong dollar, New Zealand dollar, Singapore dollar, New Taiwan dollar, Jamaican dollar, Liberian dollar, Namibian dollar, Brunei dollar, and several other.
Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu.
Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS.
Wamewazaje kupandisha thamani ya...
Aliyekuwa Rais wa Afghanistan aliyepinduliwa na kikundi chenye msimamo mkali Taliban, Ashraf Ghani yasemekana ametoroka na zaidi ya kitita cha dollars za Marekani milion 169.
Ubalozi wa Urusi ulisema Jumatatu, Ashraf Ghani atoroka Afghanistan na magari manne na helicopter yaliyojaa pesa...
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote
hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika
Hakuna haja tena...
Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake.
=======
Pfizer coronavirus vaccine revenue is projected to hit $26 billion in 2021 with production surge
By
Christopher Rowland
May 4, 2021...
Here's the link for the report,
https://www.afrasiabank.com/en/about/newsroom/africa-wealth-report-2021
Some screenshots from the report.
Nairobi was also ranked the fifth wealthiest city after
Jo'bag
Cape Town
Cairo
Lagos
Durban
African countries with the highest number of rich people
1.South Africa (215983)
2.Egypt (139261)
3.Nigeria (90985)
4.Algeria (68348)
5.Morocco (33958)
6.Angola (21473)
7.Tunisia (19679)
8.Botswana (15099)
9.Tanzania (14254)
10.Ghana (11522)
11.Kenya (9600)
12.Ethiopia (4802)...
Inakuwaje wanaJF!
Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars millionaires siyo mchezo Aisee ni wakupongezwa.
Nimeshangazwa na hawa kuwa dolls millionaires nawapa pongezi...
The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya mauaji kiasi cha Dollar 282,600.
Ndugu zangu watanzania, hii story ni fupi sana ukilinganisha na story zingine nilizowahi kuziweka humu JF, lakini inatoa funzo moja kubwa na...
Urusi na Uchina zinashirikiana kupunguza utegemezi wao kwa dola - maendeleo ambayo wataalam wengine wanasema inaweza kusababisha "muungano wa kifedha" kati yao.
Katika robo ya kwanza ya 2020, sehemu ya biashara ya dola kati ya Urusi na Uchina ilianguka chini ya asilimia 50 kwa mara ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.