dollar

Dollar (symbol: $) is the name of more than 20 currencies. They include the United States dollar, Australian dollar, Canadan dollar, Hong Kong dollar, New Zealand dollar, Singapore dollar, New Taiwan dollar, Jamaican dollar, Liberian dollar, Namibian dollar, Brunei dollar, and several other.

View More On Wikipedia.org
  1. 500 Zimbabwean dollar sawa na 1USD, 2400 Tanzania Shilingi sawa na 1USD, Wazimbabwe wamewazaje kupandisha thamani ya pesa yao na sisi tunakwama wapi?

    Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu. Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS. Wamewazaje kupandisha thamani ya...
  2. M

    Aliyekuwa Rais wa Afghanistan, Ashraf Ghani atoroka na dollar za kimarekani milioni 169

    Aliyekuwa Rais wa Afghanistan aliyepinduliwa na kikundi chenye msimamo mkali Taliban, Ashraf Ghani yasemekana ametoroka na zaidi ya kitita cha dollars za Marekani milion 169. Ubalozi wa Urusi ulisema Jumatatu, Ashraf Ghani atoroka Afghanistan na magari manne na helicopter yaliyojaa pesa...
  3. Chanjo ya SPUTNIK Pekee ikiuzwa kwa watu 7.9billion ni sawa na dollar billion 107.44

    Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika Hakuna haja tena...
  4. Kampuni ya Pfizer yasema inatarajia mapato ya dola bilioni 26 mwaka huu kutokana na mauzo ya Chanjo ya Corona

    Wanatarajia chanjo yao kuwa ‘income booster’ kwa miaka mingi ijayo; na wanatarajia kuingiza jumla ya mapato ya dollar bilioni 26 kwa mwaka huu peke yake. ======= Pfizer coronavirus vaccine revenue is projected to hit $26 billion in 2021 with production surge By Christopher Rowland May 4, 2021...
  5. World Wealth Report 2021. Kenya has more dollar millionaires than all other East African countries combined.

    Here's the link for the report, https://www.afrasiabank.com/en/about/newsroom/africa-wealth-report-2021 Some screenshots from the report. Nairobi was also ranked the fifth wealthiest city after Jo'bag Cape Town Cairo Lagos Durban
  6. Kwanini watu wengi wakipokea pesa aina ya dollar lazima wainuse?

    Habari wadau..! Nimefanya utafiti nimegundua watu wengi wakikamata kitita cha dollar lazima wakinuse kwanza kuna siri gani katika hili?
  7. African countries with the most richest people

    African countries with the highest number of rich people 1.South Africa (215983) 2.Egypt (139261) 3.Nigeria (90985) 4.Algeria (68348) 5.Morocco (33958) 6.Angola (21473) 7.Tunisia (19679) 8.Botswana (15099) 9.Tanzania (14254) 10.Ghana (11522) 11.Kenya (9600) 12.Ethiopia (4802)...
  8. African Countries by number of Dollar Millionaires

    1. South Africa - 39,200 millionaires 2. Egypt - 16,700 millionaires 3. Nigeria - 9,900 millionaires 4. Kenya - 8,600 millionaires 5. Morocco - 4,600 millionaires 6. Mauritius - 4,400 millionaires 7. Ethiopia - 3,200 millionaires 8. Angola - 3,200 millionaires 9. Ghana - 2,900 millionaires 10...
  9. M

    Hongera sana kwa hawa kuwa dollar millionaires Tanzania

    Inakuwaje wanaJF! Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars millionaires siyo mchezo Aisee ni wakupongezwa. Nimeshangazwa na hawa kuwa dolls millionaires nawapa pongezi...
  10. The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya kutisha kiasi cha Dolla 282,600

    The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya mauaji kiasi cha Dollar 282,600. Ndugu zangu watanzania, hii story ni fupi sana ukilinganisha na story zingine nilizowahi kuziweka humu JF, lakini inatoa funzo moja kubwa na...
  11. China na Urusi kupunguza matumizi ya dola

    Urusi na Uchina zinashirikiana kupunguza utegemezi wao kwa dola - maendeleo ambayo wataalam wengine wanasema inaweza kusababisha "muungano wa kifedha" kati yao. Katika robo ya kwanza ya 2020, sehemu ya biashara ya dola kati ya Urusi na Uchina ilianguka chini ya asilimia 50 kwa mara ya kwanza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…