Mhadhiri mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) kilichopo mkoani Mwanza, Dkt. Dotto Bulendu amesema waandishi wa habari wametekeleza wajibu wao katika kutangaza kampeni kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu.
Dkt. Bulendu amesema waandishi...