DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.
Kama wenye nchi ni wananchi kwanini tunaaminishwa tunaweza kuendesha nchi lakini watu hao hao wanaotambia nchi inaenda vizuri wanashindwa kuendesha bandari?
Kwanini waziri mwenye dhamana anakiri bungeni kwamba yeye na watendaji wameshindwa kuendesha bandari na bado anaendelea kubaki ofisini...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye Nipashe ya leo.
Kama kawaida yangu, kila nipotapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zinazozungumzia jambo lolote lenye maslahi kwa taifa, liwe ni la kisiasa, kiuchumi au kijamii, na hufanywa kwa mtindo wa maswali fikirishi, kisha...
Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata.
Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾
Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:
Hi
Jina langu ni Amna Ghanem.
Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa...
Twende straight to the point, bila kuzingatia waliyosaini huko Mkataba.
Swali nataka kujua, ikiwa leo DP World wamesaini Mkataba na Mbarawa kama Waziri wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania. Sasa ikitokea Muungano ukavunjika na Mbarawa kurudi zake kwao Zanzibar. je, Makataba wa DP world utabaki...
Baada ya Gerson Msigwa kutoa Elimu kuhusu azimio la Bunge na Uwekezaji wa Bandari ya Dar, Wananchi sasa wamejua ukweli.
Ni Jukumu letu Watanzania kuunga Mkono Juhudi zake kwani waliokuwa wanapotosha kuhusu Uwekezaji wa Bandarini sasa wameelewa ukweli. Watu walidanganywa kwamba Bandari zote za...
Akizungumza na wananchi wa jimbo lake(Ilala), Mussa Azan Zungu amesema haya ni makubaliano ya Tz na UAE sio mkataba na DP-World. Amesema mkataba ukishapita ndipo Tz itaingia mkataba na DP-World ambapo ndipo wataenda kuweka mbele maslahi ya nchi sio sasa kwenye IGA(Inter Government Agreement)...
Kimeumana!
Nimezipata za chini ya kapeti ya kwamba kuna uwezekano mkubwa wa vijana wa Dsm na wa Dodoma kuingia barabarani weekend hii au Jumatano ijayo kupinga issue ya DP World.
Mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Vijaaanaa vijana vijana tuko tayari...
Ipo video inatembea Youtube inayoonyesha namna serikali ya Rwanda ilivyofungua bandari kavu tayari kwa ajili ya mzigo wa DP World. Tayari kwa ajili ya biashara ya kuweka mzigo unaokuja bandari ya Dar na kwenda Dubai.
Mwarabu alijipanga siku nyingi sana. Hii ni biashara iliyoanza tangu miaka...
Ni kama vile kuna vita baridi ya kugombea Afrika kati ya Marekani (pamoja na mataifa mengine ya magharibi) dhidi ya China. Kila mmoja anajitahidi kuongeza ushawishi wake barani Afrika kupitia vitu kama uwekezaji, misaada N.K
Kwenye hili la mkataba wetu na DP World ni wazi kuwa mchina amepigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.