dp world

DP World is an Emirati multinational logistics company based in Dubai, United Arab Emirates. It specialises in cargo logistics, port terminal operations, maritime services and free trade zones. Formed in 2005 by the merger of Dubai Ports Authority and Dubai Ports International, DP World handles 70 million containers that are brought in by around 70,000 vessels annually. This equates to roughly 10% of global container traffic accounted for by their 82 marine and inland terminals present in over 40 countries. Until 2016, DP World was primarily a global port operator, and since then, it has acquired other companies up and down the value chain.

View More On Wikipedia.org
  1. Wakenya wamjibu yule Mtu aliyetutisha Watanzania kuwa tusipowakubali DP World watahamia Kenya na tutajuta

    "DP World tunawakaribisha hapa nchini Kenya kuwekeza katika Bandari zetu ila msitegemee kama tutakuwa Mazuzu kwa Kuingia nanyi Mkataba kwa Kukurupuka na bila Kufuata Vipengele vyote muhimu kwa Maslahi ya Kenya na Wakenya wote" Haya Wewe Mtu umewasikia Wakenya?
  2. Baada ya Kukitafiti kilichofanywa na DP World huko Djibouti, Angola na Senegal namuomba Rais Samia aachane nao rasmi

    Na pia GENTAMYCINE namuomba Rais Samia Suluhu Hassan awatazame upya Wasaidizi na Washauri wake kwani nimeanza kuona anahujumiwa na anaowaamini wakiongozwa na Mswahili mmoja asiyechoka na utajiri mkubwa alionao na pesa alizozificha kwa kuzigawa nchini Malaysia na Cyprus. Kama Angola, Djibouti na...
  3. Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World mpaka pale Serikali itakapotoa ufafanuzi

    Watanzania wanashauriwa kukaa kimya kuhusiana na mkataba wa DP World kwasababu kauli zao hazina staha, hazifuati taratibu za kisheria katika uwasilishwaji wake hivyo ni sawa na kelele na usumbufu kwa wanchi hivyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote wenye nia ya kuikashifu...
  4. Rais Samia, hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyoiuza kwa DP World ni hii hii The United Republic of Tanzania? (Angalia kifungu nilichoweka)

    Kwa mujibu wa kipengele hiki kilichopo kwenye IGA kati ya Tanzania na Dubai Ports kuna nchi inayoitwa "Tanzania" ambayo Rais Samia ameuza special economic areas zake zote kwa DP World. Sasa naomba kukuuliza Rais Samia. Hiyo nchi inayoitwa Tanzania uliyouza operations zote za special economic...
  5. Mkataba wa DP world na Tanganyika kutafsiriwa Kwa Kiswahili na kugawanywa bure kwa wananchi kupitia Chadema.

    Ni nini madhara ya Zoezi hili Iwapo Chadema watafanikisha Zoezi hilo? Tujadili Ili bila ushabiki.
  6. Z

    CCM tukiacha mkatapa wa DP world tunapungukiwa nini? 2025 tutatumia mtutu kurudi ikulu?

    Swala la mkatapa Kati ya Tanzania na DP world limeleta mgawanyiko Kati ya jamii,Dini,siasa na hata kutishia uhai wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar . Niwambie kwamba wananchi hawajamsahau Hayati JPM ,slogun zake,uzalendo wake kwa taifa .ushaidi tumeona .waliyosema watenda kunyea kaburi la...
  7. Mikataba ya Bandari na DP World, SGR imeanza kuwanyima usingizi CCM

    Mkataba wa usimamizi wa bandari kati ya Tanzania na kampuni ya Dubai unampa Rais Samia Suluhu na Chama tawala Chama Cha Mapinduzi (CCM) kukosa usingizi usiku huku upinzani ukiendeleza kampeni za kuibua hisia za kisiasa. Na kabla ya mzunguko ujao wa uchaguzi utakaoanza mwaka ujao, Rais ambaye...
  8. F

    Hoja ya Zitto Kabwe ya kuunda Kampuni na kugawana mapato na DP World 50% kwa 50% ni ya kijinga!

    Nilimsikia Zitto Kabwe akipendekeza eti tuunde Local Company halafu tugawane mapato 50% kwa 50% na DP World ! Hivi uzwazwa huu Zitto Kabwe kausomea wapi hapa Duniani? Huwezi kujua equity yako kwenye investment mpaka kwanza ijulikane wewe umewekeza (nini) kwenye hiyo investment. Sasa sisi...
  9. U

    DP World Deal: An Unforced error by President Samia's government

    As President Samia Suluhu Hassan marked two years in office, I penned an article concluding that she is a “decent person”. However, my assessment faced significant criticism from certain circles. How dare I suggest, critics asked, that the President is decent? I observe that two groups...
  10. W

    Ushauri wangu kwa Mama Samia kuhusu matumizi ya fedha za DP World!

    Utangulizi: Kwakuwa Mwenyezi Mungu ameamua kutujaalia Watanzania kwa kutuletea hii neema ya uwekezaji ya DP World; neema ambayo imekuja kipindi ambacho nawe alishaamua kukujaalia neema ya uongozi.........endelea kushirikiana na viongozi wenzako kutuhimiza kuishikilia neema hii. Kwakuwa Mwenyezi...
  11. M

    Mchakato wa Katiba mpya kuanza Sept. 2023. Baaada ya katiba mpya kupatikana Dp world wanafurushwa

  12. K

    Mkataba wa DP World una nia nzuri lakini haukufuata utaratibu

    Nia ya mkataba wa DP WORLD ulikuwa na nia njema ya kuiongezea Tanzania mapato makubwa na baadae kuwekeza fedha hizi katika miradi ya maendeleo lakini kwa nia njema kabisa utaratibu haukufuatwa. Kutokana na mapungufu hayo nashauri mkataba huu UFUTWE MARA MOJA na tuanze upya kutafuta wawekezaji...
  13. DP World ni mwanzo tu, mengi yatafuata

    Tanzania hii si ile. Watanzania hawa si wale. Wakati wetu (tukiwa kwenye kutumikia Serikali na chama), ilikuwa rahisi kama kula bisi kuwaaminisha watanzania juu ya jambo fulani. Ilikuwa rahisi kuwaambia Tanzania kuwa jezi za Simba ni za njano na za Yanga ni nyekundu. Na waliamini. Propaganda...
  14. Tetesi: Waliowapa DP World Bandari ndiyo haohao waliwapa TICTS mkataba ndio hao hao wezi bandarini

    Kuna mtu kanifata inbox akilalama Mimi nimepewa hela kukataa DP world. Sijapewa chochote na mtu yoyote. Mimi ni mmoja ya watu ambao ulikuwepo wakati AirTanzania inasambaratika Kuna muda kwenda Mwanza kwa ndege ilikuwa hadi laki 9 one way. Tulikuwepo wakati TRC linabinafshishwa likabakia chumba...
  15. S

    Hongera DP world kwa kutua Tanzania

    Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu. Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa...
  16. Nikiwa kama Referee wa Team Yes DP World vs Team No DP World na Kesi iliyoko Mbeya nashauri Team Yes wawaige Azam FC walichofanya Tunisia jana

    Mpaka muda huu kwa Kesi iliyoko Mkoani Mbeya na inavyoendelea nawaona Team Yes DP World wanaenda Kufungwa ( Kushindwa ) vibaya mno na Kuumbuka. Ushauri pekee ambao GENTAMYCINE nautoa kwa Team Yes DP World huku nikiwana Team No DP World wanavyoupiga mwingi hawa ( Team Yes DP World ) wawaige Azam...
  17. Mpango wa DP World: Kosa lisilo na ulazima na serikali ya Rais Samia

    Rais Samia Suluhu Hassan alipokuwa anaadhimisha miaka miwili madarakani, niliandika makala nikihitimisha kwamba yeye ni "mtu mzuri". Hata hivyo, tathmini yangu ilikosolewa kwa kiasi kikubwa na baadhi ya watu. Jinsi gani niliweza kudai, wakosoaji walijiuliza, kuwa Rais ni mtu mzuri? Nakumbuka...
  18. Aliyewapa tenda CCM kazi ya kutete DP world kwa wananchi ni nani? Amewapa shilingi ngapi?

    Kuna campaign nchi nzima na mikutano ya usiku na mchana kutetea uwekezaji Bandari ya Dar es salaam na uwekezaji wa baadae kwa Bandari zote za Tanzania kwa kampuni Moja tu ya DP World. Hizi pesa za campaign zingewekezwa kwenye elimu na barabara nchi ingekuwa mbali kiuchumi. Mimi naona campaign...
  19. Kinana: Rais wa Tanzania aliyekula kiapo hawezi kufanya jambo ambalo halina maslahi na nchi yake

    Baada ya Uvumi mkubwa wa kumhusisha Kinana na Kupinga uwekezaji wa Bandari Kwa DP World, hatimaye afunguka. Akihutubia mkutano wa hadhara Mkoani Mara Kinana amesema Watanzania wasiwe na Wasiwasi Kwa sababu Rais Samia ameapa kulinda na kuhifadhi Katiba ya Nchi hivyo hawezi kuwauza Kwa kufanya...
  20. F

    Askofu Mwamakula: DP World kujenga msikiti wa Masjid al jumaa wa Mbeya na kuendelea kusaidia dini ya kiislam nchini Tanzania!

    Kampuni ya DP World ambayo katika Mkataba wa Bandari kati ya Ufalme wa Dubai na Serikali ya Tanzania ndiyo imepewa kuendesha Bandari zote Tanzania Bara (Tanganyika) inatumia faida inayopata katika biashara zake kusaidia misikiti na Waislamu kwa ujumla. Mwaka huu wakati wa mfungo wa Radhamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…