dpp

  1. J

    DPP: Zaidi ya watuhumiwa 300 wa Uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru

    Mkurugenzi wa mashtaka mh Biswalo Mganga amesema zaidi ya watuhumiwa 300 wa makosa ya uhujumu uchumi walioomba kukiri makosa wamekubaliwa na kuachiwa huru. DPP amesisitiza kuwa zoezi hilo linafanywa kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge na kwamba hisia kuwa hiyo ni njia ya kuiingizia...
  2. G Sam

    DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, Mahakama nayo imeridhia

    DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, mahakama nayo imeridhia. Ni jambo la aibu kuwa DPP anamkamata mtu anamfungulia mashtaka yasiyo na dhamana kisha kila mshtakiwa akipelekwa mahakamani DPP anaiambia mahakama kuwa upelelezi haujakamilika. Aibu yako kubwa wewe DPP usiye hata na chembe ya...
  3. beth

    Hatma ya Erick Kabendera bado ipo kwa DPP, Kesi yaahirishwa hadi Januari 2, 2020

    Upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera bado haujakamilika. Kabendera anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kutakatisha Sh173milioni katika Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi Kisutu. Hayo yameelezwa leo Jumatano Desemba 18...
  4. J

    DPP kuridhia mashtaka dhidi ya vigogo kesi za TAKUKURU?

    SOURCE: www.raiamwema.co.tz Mawaziri kushitakiwa kwa tuhuma za ufisadi Mwandishi Wetu Machi 26, 2008 SERIKALI inakamilisha taratibu za kuwashitaki mawaziri wa zamani wawili wanaotuhumiwa kwa ufisadi, Raia Mwema imefahamishwa. Habari za uhakika zilizopatikana na kuthibitishwa na maofisa...
Back
Top Bottom