SOURCE: www.raiamwema.co.tz
Mawaziri kushitakiwa kwa tuhuma za ufisadi
Mwandishi Wetu Machi 26, 2008
SERIKALI inakamilisha taratibu za kuwashitaki mawaziri wa zamani wawili wanaotuhumiwa kwa ufisadi, Raia Mwema imefahamishwa.
Habari za uhakika zilizopatikana na kuthibitishwa na maofisa...