Wakristo 70 wamepatikana wakiwa wamekatwa vichwa katika kanisa moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), katika shambulio la hivi punde dhidi ya waumini kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Kulingana na vyanzo vya habari, mnamo saa nne asubuhi Alhamisi iliyopita (13 Februari) washukiwa...
12 February 2025
Arusha, Tanzania
DR CONGO YAFUNGUA KESI MAHAKAMA YA AFRIKA, RWANDA YAWEKA PINGAMIZI MAHAKAMA HAINA MAMLAKA
DR Congo Vs Rwanda Katika Mahakama ya Afrika-AfCHPR
https://m.youtube.com/watch?v=YAwhDzphA5A
Februari 12, 2025: Usikilizaji wa Hadhara; Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wametangaza usitishaji mapigano wa kibinadamu kuanzia Jumanne.
Katika taarifa, kundi hilo - linalojumuisha waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda - lilitaja "sababu za kibinadamu" za kusitisha mapigano, baada ya kuteka...
The Democratic Republic of Congo’s foreign minister Therese Kayikwamba Wagner has urged soccer clubs Arsenal, Bayern Munich and Paris St Germain to end their "blood-stained" sponsorship agreements with "Visit Rwanda" following the worsening humanitarian crisis in the country.
The DR Congo health...
DR Congo: Rwandan-backed armed group and Congolese army must stop using explosive weapons in densely populated areas - Amnesty International
FOR IMMEDIATE RELEASE
Inaccurate explosive weapons with wide area effects used in densely populated areas more than 150 times in a seven-month period...
Ukiacha tabia za utekaji zilizoibuka nchini hivi karibuni na kasoro zinginezo ambazo zimekuwepo kwa miaka mingi, Tanzania bado ni kati ya nchi ambayo naamini Raia wa Congo wanatamani nchi yao ingekuwa na amani kama ya Tanzania.
Kama ikitokea kwa mfano, Baraza la Mawaziri la Congo DRC...
02 December 2024
Washington DC na Luanda Angola
ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE
Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani kwa muda usiojulikana.
Muungano huo uliopewa jina la ‘Uamsho wa Kitaifa’, utafanya mkutano wake wa...
Leo Jumanne, Taifa Stars itakuwa dimba la Benjamin Mkapa kwa kazi moja tu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo katika mechi ya kuwania kufuzu AFCON 2025 nchini Morocco.
Mechi hii itachezwa saa 10:00 jioni
Mpira umeanza kipindi cha kwanza na DR Congo ndiyo wameanzisha gozi.
Dakika, 2 Stars...
Alhamis ya leo Oktoba 10, Taifa Stars itakuwa dimba la ugenini ikicheza na DRC, mchezo wa kuwania kufuzu fainali za AFCON 2025 nchini Morocco. Mchezo huu utachezwa kuanzia saa 1:00 usiku
Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR...
Miili 20 imeopolewa kutoka Ziwa Kivu Mashariki baada ya boti iliyokuwa safari kutoka Minova kupinduka umbali wa Mita 100 kutoka eneo ilipokuwa inaelekea (Fukwe ya Goma)
Video inayosambaa Mtandaoni inaonyesha boti hiyo ikiinamia upande mmoja na kisha kuzama
Idadi kamili ya Watu waliokuwepo...
Kikosi cha Timu ya Taifa "Taifa Stars" kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo Oktoba 10, 2024 na Oktoba 15, 2024.
Pia soma:
~ Samatta, Msuva watupwa nje kikosi cha Taifa Stars kufuzu afcon 2025
~ DR Congo 0 - 0 Tanzania | Qualification AFCON 2025 |...
Waziri wa Mambo ya Ndani, Shabani Lukoo amesema, Watu 129 wameuawa wakati wakijaribu kutoroka katika Gereza Kuu la Makala jijini Kinshasa na wengine 59 wakijeruhiwa.
Waziri Lukoo ametaja madhara mengine yaliyotokea katika tukio hilo ni pamoja na baadhi ya Majengo ya Utawala kuchomwa moto...
Je, DRC imeona ni bora kuwa na marafiki wachache wenye tija kuliko kuwa na marafiki wengi wasio na tija, au ipoje?
Habari kamili.
==========
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imetishia kujiondoa katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iwapo jumuiya hiyo itashindwa kuiwajibisha Rwanda kwa madai...
Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo.
Soma pia: Kufungiwa kwa...
DR-CONGO: Serikali imesema jaribio la Mapinduzi lililozimwa mwishoni mwa Wiki iliyopita liliongozwa na Christian Malanga, Mwanasiasa mwenye uraia wa Congo lakini makazi yake yapo Nchini Marekani akiwa na kundi la Wanajeshi walioasi.
Msemaji wa Jeshi la DRC amesema takriban Watu 50 akiwemo Mtoto...
Magari mawili ya kijeshi ya Tanzania yamepigwa na makombora yaliyorushwa na waasi wa M23 katika mji wa Sake nchini Kongo, walioshuhudia wameiambia BBC.
Chanzo cha jeshi la Kongo na shahidi wa macho walisema shambulio hilo lilitokea siku ya Alhamisi, na kumwacha mwanajeshi mmoja wa Tanzania...
Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani.
Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la...
Klabu ya Rayon Sport ya Rwanda Imevhnja mkataba na Mshambuliaji wake Hatari Raia wa DR Congo Heritier Luvumbu Baada ya hapo Jana kufunga bao na kushangilia Kwa Staili ya kuziba mdomo na kuweka kidole kichwani kama Bastola Hivi
Hapo Jana katika mchezo wa ligi kuu ya Rwanda Kati ya Rayon Sport...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.