dr congo

  1. Vincenzo Jr

    FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

    Leo Jumatano 24.01.2024. Tanzania (Taifa Stars) Tunatupa karata yetu ya tatu katika Mashindano haya ya AFCON 2024 kumenyana na Timu ya Taifa ya DR congo mechi ni saa 5 usiku mungu ibariki Tanzania Kikosi cha Tanzania Kikosi cha DR Congo fiston mayele kaanza leo Mpira Umeanza... Tanzania...
  2. Suley2019

    Matokeo ya Urais DR Congo kutangazwa Jumapili (Desemba 31, 2023)

    Matokeo ya uchaguzi wa urais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yanatarajiwa kutangazwa kesho kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na tume ya uchaguzi, huku ushindi ukitarajiwa kwa Rais aliye madarakani Felix Tshisekedi. Takriban watu milioni 44 walijiandikisha kupiga kura Desemba 20 katika uchaguzi...
  3. JanguKamaJangu

    Rais wa DR Congo, Tshisekedi amlinganisha Rais Paul Kagame na Hitler

    Kiongozi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amepeleka mashambulizi yake ya kejeli dhidi ya mwenzake wa Rwanda katika ngazi nyingine kwa kumfananisha na Adolf Hitler. Félix Tshisekedi alisema Paul Kagame alikuwa na tabia kama Hitler, na akaongeza: "Naahidi ataishia kama Hitler". Bw Tshisekedi...
  4. JanguKamaJangu

    Uchaguzi Mkuu DRC: Wapinzani Waungana Nyuma ya Moise Katumbi Ili Kumng'oa Rais Felix Tshisekedi

    Wagombea Wanne wa nafasi ya Urais Nchini DR Congo wameamua kujitoa na kueleza kuwa wanaelekeza nguvu zao katika kumuunga mkono Gavana wa zamani, Moise Katumbi ambaye ni mgombea mkuu wa upinzani katika uchaguzi huo. Hatua hiyo inafanya wagombe waliosalia kuwa 21 mbapo wote wanawania nafasi...
  5. JanguKamaJangu

    Wanajeshi wa Kenya waanza kuondoka DR Congo

    Kikosi cha kanda ya Afrika Mashariki kimeanza kuondoka katika eneo lenye matatizo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wanajeshi hao walitumwa kwa mara ya kwanza katika eneo hilo mwezi Novemba mwaka jana kutokana na ombi la serikali ya Kongo kwa matumaini ya kulidhibiti kundi la...
  6. B

    Moto Kampeni Uchaguzi Mkuu wa DR CONGO 2023, Farasi wawili Moïse Katumbi vs Felix Tshisekedi

    19 November 2023 Kuelekea uchaguzi mkuu nchini DR Congo nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili kama madini, uvunaji magogo ni watia nia wawili wa uRais ndiyo wanaoutia moto uchaguzi https://m.youtube.com/watch?v=XzU9u6Y4bzg Moïse Katumbi amewasiki Maniema na kupokelewa na umati mkubwa wa...
  7. B

    Diplomasia ya Kiuchumi kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imefeli?

    Matukio wa wawekezaji wa sekta ya usafiri na kugavi, malori yao kukwama DR Congo yatamalizwa lini? Au diplomasia yetu ya kiuchumi ni kwa ajili ya nchi za mbali kama China, India, Mashariki ya kati na wala siyo na majirani zetu. 17 October 2023 MALORI ZAIDI YA 200 YAKWAMA NCHINI CONGO DRC KWA...
  8. falcon Q

    AFCON: Tanzania kumenyana na Morocco, DR Congo na Zambia kundi F

    Wanamichezo kama mnavyofahamu leo ndo inafanzika droo ya upangaji wa makundi ya michuano ya AFCON karibuni tupeane update ya zoezi hilo. --- Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepangwa Kundi F katika Michuano ya Kombe la Afrika (AFCON) 2023 itakayofanyika Januari 13 hadi Februari 11, 2024...
  9. B

    Uhalifu siku zote hauna faida: Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo

    Kamanda mkuu wa ADF, wapiganaji 3 wauawa DR Congo AFPCopyright: AFP Wanajeshi wa Uganda Pamoja na wenzao wa DR congo wamefanikiwa kumuua kamanda mmoja wa kundi la ADF pamoja na wapiganaji wengine watatu kwa mujibu wa mamlaka siku ya Ijumaa kwa mujibu wa mtandao wa The Monitor nchini humo...
  10. Dalton elijah

    DR Congo: Crackdown on Opposition Ahead of Elections

    Kinshasa – The authorities in the Democratic Republic of Congo have targeted leaders of opposition political parties, restricting their fundamental liberties and arresting party officials since May 2023 According to the Report issued by Human Rights Watch. The crackdown is taking place amid...
  11. B

    DR Congo: Watoto wawili waokolewa ziwani baada ya kutokea mafuriko

    WATOTO wawili wameokolewa wakielea karibu na ufukwe wa ziwa Kivu huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku chache baada ya mafuriko yaliyoua zaidi ya watu 400. Haijabainika jinsi watoto hao wachanga walivyonusurika kwa siku tatu katika ziwa hilo, lakini mashuhuda wanasema...
  12. Nyendo

    DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

    Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji...
  13. BARD AI

    DR Congo: Makubaliano ya kusitisha Vita yavunjika tena, mapigano yaanza upya

    Vyanzo mbalimbali ikiwemo #BBC vimeripoti kuwa Wafanyakazi wa Mashirika ya misaada kutoka maeneo ya Mashariki mwa #DRC wamesema kuna mapigano mapya kati ya Jeshi la Serikali na Waasi wa M23. Serikali imeshutumu Waasi kwa shambulio la Machi 7, 2023 lililosababisha raia wengi kukimbia makazi yao...
  14. JanguKamaJangu

    Kagame ailaumu DR Congo kwa kukiuka makubaliano

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame amepeleka shutuma hizo kwa Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi akidai anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhusu mgogoro baina ya Nchi hizo unaoendelea. Rais Kagame amedai licha ya kufanya mikutano na kukubaliana lakini Rais...
  15. JanguKamaJangu

    DR Congo: Watu 8 wafariki katika maandamano ya kupinga uwepo wa walinda amani wa UN

    Mamlaka zimesema watu wengine 28 wamejeruhiwa baada ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN) kurusha risasi wakati wakijihami wakati wakishambuliwa na waandamanaji katika eneo la Jimbo la Kivu Kaskazini. Msafara wa UN ulishambuliwa wakati wakirejea kutoka Mji wa Goma ambapo mgari yao kadhaa...
  16. BARD AI

    Papa Francis avilaumu Vyombo vya Habari kwa kutoongeza ukweli kuhusu kinachotokea DR Congo

    Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani ambaye yuko katika ziara inayomalizika Februari 3, 2023, amesema Ukatili wanaofanyiwa Wananchi kimevuka mpaka na ni lazima kikomeshwe. Kauli hiyo inafuatia Wahanga wa Machafuko ya Kivita wengi wao wakiwa wamekatika viungo vya mwili, kupita mbele ya...
  17. kwisha

    Miaka mitano (5) Rais Felix Tshisekedi nchini DR Congo

    Miaka 5 ya Rais Felix Tshisekedi nchini Congo Hakuna alichokifanya zaidi ya kusafiri tu nje huko Hakuna mradi wowote ambao alifanya umekamilika zaidi ya kulalamika kuwa mafisadi wanaiba pesa za Serekali Nakumbuka mwaka 2015 kipindi cha kampeni Canada aliyekuwa waziri mkuu wa Canada, Stephen...
  18. BARD AI

    Rais Kagame akataa nchi yake kupokea Wakimbizi wa DR Congo

    Rais Paul Kagame amesema Nchi yake haiko tayari kutoa hifadhi kwa watu wanaokimbia migogoro kwa maelezo kuwa hilo sio tatizo la Rwanda hivyo hawezi kubeba mzigo usi wake. Kagame amesema chanzo cha mgogoro wa DRC na Rwanda ni mabaki ya vikosi vya Wahutu wenye itikadi kali ambao walijaribu...
  19. BARD AI

    Rais Kagame: Umwagaji Damu nchini DR Congo hauihusu Rwanda

    Rais Paul Kagame amesema matatizo ya Congo hayakuundwa na Rwanda na si matatizo yao pia hawezi kuwajibika kwa matatizo yanayosababishwa na Wakongo wenye asili ya Rwanda wanaodai kunyimwa Haki zao kama raia. Kauli ya Kagame inakuja kukiwa na ongezeko la vifo na mwagaji damu katika maeneo...
  20. BARD AI

    DR Congo: Mafuriko yaua watu 141 na kuharibu nyumba 38,000, Rais atangaza siku 3 za Maombolezo

    Taarifa ya Wizara ya Afya imesema hadi kufikia leo Desemba 14, 2022 imehesabu miili 141 na kuongeza kuwa idadi inaweza kuongezeka kadri utafutaji unavyoendelea. Zaidi ya nyumba 38,000 zimekumbwa na Mafuriko na nyingine 280 zikiporomoka jijini Kinshasa, eneo lenye Wakazi Milioni 15...
Back
Top Bottom