Imeelezwa kuwa kati ya mwaka 2023 hadi 2024, Watu Milioni 1.9 wameongezeka katika idadi ya Watu wanaokabiliwa na Hali Mbaya ya Upatikanaji wa Chakula duniani kutoka Watu 705,000 walioongezeka mwaka 2022/23.
Kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Kimataifa ya Migogoro ya Chakula (GRFC), ongezeko hilo...
Wizara ya Mambo ya Ndani imewataja waliokamatwa ni Mike Mikombe, Mkuu wa Kikosi cha Walinzi na Donat Bawili, Kiongozi wa Jeshi katika mji wa Goma, wote wawili wanadaiwa kuagiza Wanajeshi kuwaua Waandamanaji.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Wizara, Vikosi vya Usalama viliingilia maandamano ya Waumini wa...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeitaka Serikali ya Sudan kutoa maelezo kuhusu shambulio hilo lililofanywa katika eneo linalokaliwa na Wananchi wasio na Silaha ikiwemo raia wa kigeni kutoka mataifa mengine na kusababisha majeruhi.
Waziri wa Mambo ya Nje, Christophe...
Hello!
Natafuta Bajaji ya kufanyia kazi. Nipo tayari kwa mkataba au kawaida kuleta hesabu. Nina uzoefu pamoja na uaminifu wa hali juu.
~ Nina Leseni na kitambulisho cha taifa (NIDA)
~ Namba: 0674074563
~ Nipo tayari kufanya kazi sehemu yoyote kwa Dar
~ Nipo Temeke Dar es Salaam
Hukumu imetolewa na Mahakama ya Kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) juu ya mauaji ya Balozi #LucaAttanasio mwaka wa 2021, licha ya ushahidi wa kesi kuendelea kuwa na utata.
Hata hivyo, Mawakili wa Washtakiwa wametangaza kukata rufaa kupinga hukumu hiyo ambayo awali Waendesha...
Taasisi ya #AmnestyInternational imesema zaidi ya Wanawake na Wasichana 66 walifanyiwa Vitendo vya Ukatili ikiwemo Kubakwa katika kijiji cha Kishishe na kuua Wanaume kadhaa Novemba 2022.
Kupitia mahojiano waliyofanyiwa baadhi ya Waathirika wa vitendo hivyo wamesema Waasi wa #M23 walivamia...
Mamlaka zimetangaza kumshikilia mwanachama wa kundi la Kigaidi la Allied Democratic Forces #ADF kwa madai ya kupanga shambulizi la Bomu huko Kivu Kaskazini.
Kitengo cha Polisi cha Kupambana na Ugaidi Nchini #Kenya (ATPU) leo Januari 16, 2023 kimemtambua raia huyo kuwa ni Abdirizak Muktar Garad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.