Naona sasa ni muda muafaka Serkali itunge sheria kudhibiti Haya matumizi mabaya ya Ofisi maana...
Leo hii nimeona video moja ikimuonyesha Naibu waziri Mkuu Mh Dotto Bitteko akiwa kajimilikisha Majeshi yetu na hasa Usalama wa Taifa na Kulindwa na jeshi kubwa Huku akiona sifa kama Anaigiza Muvi...
Unaweza ukajipa moyo kwamba waliachana kwa ugomvi na pengine baba wa mtoto hakutoa chochote tangu asikie mwanamke kapata mimba, waweza kudhani jamaa ndio basi tena kahsribu hawezi kuwa tatizo.
Kiufupi ni ngumu sana mwanamke kumuacha kirahisi mwanaume aliemtunga mimba hasa ya kwanza ile...
SASHA MLINZI WA NAFSI.
Sehemu ya............1-2
Mtunzi: Saul David
WhatsApp: 0756862047
UTANGULIZI...
Majira ya mchana wa jua kali mwanaume mmoja anaonekana akitembea kwa taabu sana katikati ya jangwa moja kubwa. Upepo mkali ulikuwa ukivuma kiasi cha kusababisha vumbe jingi kutanda hewani hali...
Sitaki shida na mtu uongo, uongo na kuwanyasasa na kuwasema eti kisa Nina vijisenti naachana nao kuanzia leo naona maisha yangu ya hapa duniani yanaelekea ukingoni so hii ni time ya kumrudia muumba wangu wa mbingu wa na ardhi kwasasa nitakuwa mtu wa kuignore vitu na watu wa hovyo.
Maisha ya...
Kuna maswali wanajiuliza wananchi kuhusiana na kucharuka kwa wabuge wa Bunge la CCM kwenye kikao kinachoendelea huko Dodoma.
Napenda kuwakumbusha kwamba tusiwe wasahaulifu sana tukidhani wanaongea kwa maslahi ya nchi. Tujikite kwenye msingi wa hoja zao hasa kuchunguza vyanzo vya hizo hasira...
- Kila siku hujisomea somo la wiki, ikifika jumamosi wanakusanyika kwa masaa takribani mawili kwenye vikundi vidogo kufundishana waliyojifunza na baada ya hapo ndio huingia wote kanisani kwenye ibada, hii ni nzuri kuzidi kukaa wiki nzima hujajifunza chochote kwenye biblia unasubiri tu ifike...
Mimi sikuwa najali sijui nani kamtafuta mwenzake, mi nikisikia nimemmis nampigia tu, i don't care who call first or often.
Sasa ikafika hatua ukimwambia 'i love you' anasema sawa.
Nikaona sio shida nikaanza ku "balance shobo" sasa anaanza kulalamika kua simpendi.
Hivi mapenzo bila drama hayaendi?
Utakuta wanachuo wanatembea kwa kufuatana kama kumbi kumbi; mwanaume hataki kumuacha mwanamke, na mwanamke naye hataki kumuacha mwanaume.
Mmoja akienda maktaba, mwenzake anamfuata, hivyo hivyo hata kwenye magrupu ya 'discussion'. Ulikuwa ukiingia kwenye vyumba vyao, utakuta matunda, juisi, wine...
Wana msemo wao wanasema "eyes wide shut"; ni "wide" (wazi) lakini hapohapo "shut" (yamefungwa)
Yaani wanadai tuko "macho kodo lakini hatuoni"
Na ndio maana wanatuita "sheeple" au kondoo;
na pia "goyim".
Ukiweza, tafadhali tazama scene hii mojawapo kwenye drama ya Utopia,
inayoitwa "Utopia...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa huja na zile makala zangu Kwa Maslahi ya Taifa, ambazo huchapishwa na gazeti la Nipashe la kila siku za Jumapili.
Wajameni, ni mimi tuu au na wengine, naona kama
Nyumba yetu inazidi makelele, jee tumshinikize Mama aonyeshe uwepo wake, kwa...
Hawa watu wana mbinu nyingi sana za ku-survive katika mazingira yoyote kwenye nafasi zao.
Sakata la wazee wa Yanga unaeweza kufikiri viongozi hawajui. La hasha! Wanafahamu sana na ukweli inaonesha anayelengwa hapo ni GSM. Viongozi hawamtaki na kwa vile wameshamwona Manji, wanatengeneza fitna...
DRAMA linaanza hivi;
Ndugu wana bodi JF, ikumbukwe kuwa mara baada ya uchaguzi 2020, CHADEMA hawakuridhishwa na mwenendo wa mchakato mzima wa uchaguzi na walitoa msimamo wao wa kutokuyatambua matokeo ya uchaguzi ule, hii ilipelekea kutoa tamko hadharani na kuwaagiza wale waliokuwa wameshinda...
Nakumbuka mara ya kwanza kuona tamthiliya ya Iris ilikuwa ni ITV pale mwaka 2013 kama sio 2014 kipindi hicho hata smartphone sina.
Nilivyoiona tu mara ya kwanza sijui ilikuwaje lakini tangu hapo sikuacha kuifatilia mpaka episodes zote 20 zilivyoisha.Nakumbuka nilikuwa nachelewa kulala siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.