drc congo

  1. MBOKA NA NGAI

    Uingereza yasitisha msaada Rwanda kwa Kuunga Mkono waasi wa DRC

    Serikali ya Uingereza imetangaza kusitisha kuhudhuria matukio yanayoandaliwa na serikali ya Rwanda na kusimamisha msaada wake kwa taifa hilo la Afrika Mashariki kutokana na waasi wanaoungwa mkono na Kigali katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Soma Pia: Serikali ya Uingereza yamuita...
  2. Mkalukungone mwamba

    Waasi wa M23 Wateka Bukavu, Jiji la Pili kwa ukubwa Mashariki mwa DRC

    Waasi wa M23 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wameingia Bukavu, mji wa pili kwa ukubwa katika eneo hilo la mashariki. Corneille Nangaa, kiongozi wa Muungano unaojumuisha waasi wa M23, ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa waasi hao waliingia katika mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini...
  3. Ngongo

    Tetesi: Col Joseph Karegire wa Jeshi la Rwanda auawa huko DRC Congo

    Habari za hivi punde ni kuuwawa kwa kiongozi wa mapambo wa jeshi la Rwanda nchi Congo. Majeshi ya Rwanda yapo nchini Congo yakisaidiana na majeshi ya M23. Mara kadhaa Paul Kagame amekuwa akikanusha kuhusika kwa nchi yake katika machafuko nchini Congo. Kufuatia kifo cha Col Joseph Karegire...
  4. Mkalukungone mwamba

    Rais wa Kundi la waasi wa M23: Atoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika mji wa Goma

    Waandishi wa habari wameambiwa wasiwe na hofu kabisa kuendelea kukusanya taarifa zote katika mji wa Goma! Waandishi wetu wa Bongo wangeweza hili? ======================= Rais wa Kundi la waasi wa M23 Bertrand Bisimwa ametoa wito kwa waandishi na vyombo vya habari kuwa huru kufanya kazi katika...
  5. The Watchman

    M23 wasema hawaondoki Goma waapa kuendelea kusonga mbele kuelekea mji mkuu Kinshasa

    Kundi la waasi wa M23 Alhamisi limeapa kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, huku wapiganaji wake wakisonga mbele zaidi katika eneo la mashariki mwa nchi lenye utajiri wa madini. Kundi hilo kuchukua udhibithi wa sehemu kubwa ya Goma, mji mkuu wa Jimbo la...
  6. Beira Boy

    Rais wa DRC CONGO atafuta uungwaji mkono huko Angola, aapa kuingamiza M23

    Amani iwe kwenu wadau Rais wa Kongo ameenda kuonana na rais wa Angola na amemwomba jeshi likasaidie kuwaondoa m23 Na ameapa inyeshe mvua lipige jua lazima awaondoe M23 Kibabe sana Tuendelee kuombea Aman ndugu zangu LONDON BOY
  7. Mindyou

    Ugonjwa mwingine usiofahamika waibuka DRC Congo na kuua watu 79

    Wakuu, Watu wasiopungua 79 wamefariki hivi karibuni kutokana na ugonjwa usiojulikana ambao una dalili zinazofanana na mafua katika eneo la kusini-magharibi mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Kwa mujibu wa wizara ya afya, idadi kubwa ya waliofariki ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 na 18...
  8. FK21

    Kikosi kikipangwa hivi Taifa Stars anashinda leo dhidi ya DR Congo

    kutokana na kuangalia wachezaji waliotwa KIKOSI kikianza ivi kitamshangaza mkongo 1. YONA AMOS - anajiamini japo Kuna goal mechi na Yanga kama aliamua tu kujishushia heshima 2. LUSAJO MWAIKENDA- No comments✓ 3. MOHAMED HUSEIN - 4. IBRAHIM BACCA -japo h uyu jamaa simkubali I bet Leo...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mfalme wa Ubelgiji asikitishwa na unyanyasaji wa wakati wa ukoloni DR Congo

    Maelezo ya picha,Mfalme Philippe ameonyesha kusikitishwa na unyanyasaji wakati a ukoloni katika barua aliyomuandikia rais Félix Tshisekedi wa DR Congo Mfalme wa Ubelgiji Philippe ameonesha masikitiko yake juu ya unyanyasaji wa kikoloni wa nchi yake uliofanyiwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya...
  10. Suley2019

    Homa ya nyani (Monkeypox) yaibuka tena Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo. Watoto wadaiwa kuathirika zaidi

    Aina hatari ya homa ya nyani (mpox) inayowaua watoto na kusababisha mimba kutoka katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndiyo inayoweza kuambukiza zaidi na inaweza kusambaa kimataifa, wanasayansi wameonya. Virusi hivi vinaonekana kusambaa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kupitia mawasiliano...
  11. TODAYS

    Kagame: Tupo Tayari kumpiga Tshisekedi

    “We are ready to fight if necessary with the DR Congo, we are not afraid of anything….." Anaendelea kusema " Tshisekedi is using FDLR ideology against his own people , If you accuse other people of what you are guilty of, it is that something is wrong in your head"
  12. bahati93

    Mataifa yatakayoendelea kuwapo baada ya vita ya 3 ya dunia

    Kaa chonjoo mwana JF Tumeshasikia sanaa maisha hayana formula kinaweza pulizwa Kipenga pyeee nyuma geuka, wa mwisho akawa wa kwanza na wa kwanza akawa wa mwisho. Tupo hapa bongo land tumerelax sana huku tukiyakandia baadhi ya mataifa kwamba hayana amani. What if hizi nchi zilizo kwenye vita...
  13. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  14. Bwana Bima

    Matatizo ya DRC Congo yatamalizwa na wakongo wenyewe

    Nikiwa nasikiliza idhaa ya kiswahili ya dw Leo mchana moja ya wachambuzi wa maswala ya migogoro huko Congo alitoa ufafanuzi juu ya kikosi kingine Cha SADC Ambacho kinajiandaa kwa awamu nyingine kutumwa huko DRC. Kilichonishangaza ni pale alipoulkuliwa akisema wanajeshi wakongo wanataka vita na...
  15. R

    Wanadiplomasia wetu waliopo Zambia na DRC Congo kwanini wanashindwa kumwambia Rais ukweli? Watanzania wanateseka kwenye hizi nchi hakuna wakuwatetea

    Tanzania nadhani tunashindwa kuelewa kwamba nchi yetu ili iendelee lazima wafu wetu wasafiri nje . Tunashindwa kuelewa ili nchi iweze kupunguza changamoto za ajira lazima watu wake wakatafute fursa Sehemu nyingine Tumekuwa wepesi sana kutetea wageni badala ya kutetea watu wetu. Raia wa Kongo...
  16. ChoiceVariable

    Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

    Baada ya China Kughairi kutoa pesa ya mkopo kujenga reli ya kulinganisha Nchi za Kenya,Uganda na DRC ,UAE Kupitia Dubai wamesema wako tayari kutoa Trilioni 15 kujenga reli hiyo Kwa Sharti kwamba wapewe share kubwa ya uendeshaji wa Bandari ya Mombasa. Haijajulikana kama Serikali ya Kenya...
  17. C

    Tanzania na DRC ndiyo nchi zinazoongoza katika fursa ya kufanya biashara

    Ukiwa medium bussinesa man au small scale bussiness man ukishindwa kufanikisha ujasiliamali wako DRC au Tanzania usipoteze mda kuenda Kenya S.Sudan, Rwanda au Uganda. Kwa uzoefu wangu ni mezuru nchi zote za kanda hi ya Africa mashariki na kati kwenye nyanja ya biashara ila naona bado Tz na DRC...
  18. bahati93

    Bila shaka nchi ya Tanzania ina kinga kali sana

    Kinga iliyonayo nchi ya Tanzania dhidi ya Majanga ni kali sana, hakuna nchi ya kulinganisha nayo hapa Afrika mashariki. Haijalishi janga liwe limetokea kiasili au limesababishwa na mwanadamu, nchi yetu kwa kutumia kingo za mipaka yake imetukinga sisi watoto wake. Ukipitia twakimu kwa miaka...
  19. Lady Whistledown

    DRC: Raia waandamana kupinga ujio wa Rais Emmanuel Macron

    Mashirika ya Kiraia yameandamana nje ya Ubalozi wa Ufaransa, kupinga ziara ya Rais Emmanuel Macron ambayo imepangwa kufanyika baadaye wiki hii Waandamanaji wanaishutumu Ufaransa kwa kuegemea upande wa Rwanda, ambayo imekuwa ikihusishwa na kuunga mkono kundi la waasi la M23 wanaoshambulia Raia...
  20. kwisha

    Moise Katumbi: Serikali ya Congo DR iachane na imani kuwa uchumi utapatikana kwa dhahabu tu

    Moise Katumbi ameshauria Serikali ya Congo kuwa waachane na ile imani ambayo Ubelgiji walituachia kuwa uchumi wa nchi yetu utapatikana na dhahabu tu. Waangalie katika ukulima na uvuvi pia. Yaani ameshauri Serikali ya Congo kufungua bank ya kukopesha wakulima pesa ili Congo tuanze kuzalisha...
Back
Top Bottom