dstv

  1. Financial Analyst

    DSTV na utapeli wa movies za kujirudia rudia.

    Hawa jamaa wanaweza kukuwekea movie ya aina moja wakawa wanairudia rudia kwenye chaneli zao feki za movies. Kila ukifungua chaneli yao ya movie unakutana na movie ulio iona jana Wajanja sana hawa jamaa😂
  2. Southern Highland

    Nawaza tu, kama mwenye haki ya matangazo angekua DSTV!

    Tunachukuliana poa kwakua mmiliki wa haki ya matangazo ni MTanzania mwenzetu. Lakini proffessionally, financially hata socially anaenda kulilia chooni kwa hasara anayoingia na anafanya hivyo asiwakere waliompa tender. Pole sana Azam, nia yako ni njema ila waliokupa kazi hawathamini jasho lako.
  3. Chizi Maarifa

    Labda hapa mtueleze Wataalamu, Hili suala la DSTV na AZAM Max

    Uki stream DSTV HUWA HAINA TABIA YA KUSTUCK unakuta unatumia 4G speed ambayo una stream either kwa App au kwenye website kwa DSTV unachagua Highest Resolution na hai stuck. But Azam Max au ukitumia website inakuwa na changamoto sana. Haipo smooth. Ina stuck sana. Iwe kwa simu au kwa laptop...
  4. Teko Modise

    Tumalize utata, DStv Vs AzamTv, unaenda na ipi?

    Wakuu njooni tumalize utata, DStv Vs AzamTv unaenda na ipi kutokana na content unazopenda?
  5. SubTopic

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?
  6. CaramelButterfly

    DSTV Tumechoka Simu za Marketing

    Mimi ni miongoni wa wakereketwa kutokana na hizi simu za marketing za DSTV. Wamekuja na njia mpya ya kupigia watu simu kwa namba tofauti tofauti binafsi. Kama mtu hajalipia kifurishi kwa muda mrefu lazima ana sababu binafsi na kama ana shida pia atawatafuta kwa namba zenu za mawasiliano ya...
  7. S

    Chaneli gani ya DSTV inaonesha Championship ya England?

    Uzi tayari
  8. Nelson Kileo

    Dstv mna huduma mbovu kwa wateja wenu, jirekebisheni.

    Kwann mnakua na tabia za kupigia wateja wenu simu na kuwashawishi juu ya offer fulani lakini hamtimizi kwa wakati punde mteja anapokubali matakwa yenu ? How comes inachukua mda kwa nyie kuUpdate package ya mteja ? Kuna offer flani mlipitisha kipindii cha miezi kadhaa nyuma mliita "Panda...
  9. Camilo Cienfuegos

    DStv wametoa ofa ya chaneli zote bure kuanzia 27 mpaka 29 Desemba hata kama hujalipia

    Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana. DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29. Siku za karibuni DStv amekuwa akipungukiwa na wateja hii ni baada ya AzamTv kuliteka soko la ndani...
  10. Bujoro

    App ya Dstv stream ina tatizo au ni simu yangu tu?!

    Habar za wakat huu mabibi na mabwana, naomba kujitika kweny mada husika kama kichwa cha habar kinavojieleza. Nimekuwa mtumiaji mzuri na wamda mrefu wa application ya Dstv now mpka sasa ilipobadilishwa na kuitwa Dstv stream miaka yote ilikuwa the best upande wa iptv kwa sababu ya ulaji mzuri wa...
  11. A

    INAUZWA Agiza TV accessories na kisimbuzi utafikishiwa popote ulipo.

    Tunauza na kusambaza kisimbuzi Cha Azamtv, DSTV, Startimes na Zuku. Na accessories mbalimbali: #Remote control, #Antenna Cable #HDMI ( mita moja Hadi 20) #LNB #TVstand, n.k Pia tunatoa huduma ya ufundi wa TV, kufunga dish, kufunga TV units. Tupo Makumbusho na Kimara, Dar es salaam. +255756126081
  12. GENTAMYCINE

    Wale Matajiri wenye Kisimbuzi cha Kitajiri cha Dstv hizi Mechi za CAFCL ilipo Yanga na ile ya CAFCC iliyopo Simba tunazitizama katika Channels gani?

    Tafadhali kama unajijua unamiliki Visimbuzi vya Kimasikini cha Njia Panda Bamaga usithubutu kuja hapa Kuchangia.
  13. GENTAMYCINE

    Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  14. mossTV

    NAUZA ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACCOUNT YENYE CHANNEL ZOTE ZA DSTV MOVIES NA SERIES

    ANDROID TV BOX YENYE IPTV ACC.. INA CHANNEL ZOTE ZA DSTV ZA MICHEZO, BURUDANI, HABARI, MUSIC.. SUPER SPORT ZOTE LIVE.. KAMA UNA INTERNET NYUMBANI AU OFISINI HAUNA HAJA YA DIKODA WALA MALIPO YA MWISHO WA MWEZI.. channel zaid ya 9000+ PIA KUNA MOVIE ZOTE NA SERIES ZOTE FULL HD MPAKA 4K RESOLUTION...
  15. Mwanadiplomasia Mahiri

    DStv wapata haki za matangazo ya mechi za CAF

    Hatimae DStv wamepata haki za kuonyesha mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na zile za Shirikisho kwa msimu huu wa 2024/2025. Hii itakuwa nafuu kwa wateja wa DStv waliokuwa wanakosa uhondo huo mpaka waende Vibanda umiza. DStv anaungana na Azam Tv pamoja na SABC kuwa vituo vyenye haki ya kurusha...
  16. Pasta Joshua

    DStv will die the same death as Nokia

    DSTV will die the same death as Nokia, Compaq, Kodak, and GM if they fail to change with changing times. More users are opting to streaming live matches as internet connectivity becomes faster, more affordable, and accessible. They have refused to lower their prices and innovate.
  17. Xi jiping

    Nitajie chanel za bure za DStv

    Mimi hii naijua ni ni channel 100 Hii hata vifurushi na chanel zote zikate haikatiki. ila ni chanel ha matangazo
  18. M

    DSTV, mbona kisimbuzi kina reboot?

    Decoder ya Dstv ina reboot, haifungui channels. Tatizo limeanza jana mpaka leo bado linaendelea. Ni kwangu tu au kuna maintenance inaendelea?
  19. Replica

    Lameck Ditto achemka madai ya bilioni 6 dhidi ya DStv, Mahakama yasema ilitumika 'second version' na si 'original' yake

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hukumu ya kesi ya madai ya mwanamuziki Lameck Ditto dhidi ya Kampuni ya Multchoice Tanzania Limited maarufu DStv, uamuzi ambao haujaacha kicheko kwa mlalamikaji. Ditto ambaye jina lake halisi ni Dotto Bwakeya alifungua kesi ya madai mahakamani hapo...
  20. Vien

    Huba Series ndani ya maisha bongo dstv - imekosa mvuto kwa story zisizo na uhalisia katika mazingira ya kawaida

    Binafsi mimi ni mzalendo na nnapenda sana kufuatilia tamthilia za hapa bongo mara moja moja pindi nkipata nafasi nkiwa home, Kuna hii Huba series inayorushwa DSTV (Maisha Magic bongo) ni ya muda mrefu sana, na imepewa airtime week nzima kuanzia J3 - Ijumaa, Hii series mwanzoni iliteka sana...
Back
Top Bottom