Habari wakuu,
Naomba tu kuuliza kama inawezekana nikatumia king'amuzi cha DSTV cha Afrika ya kusini nchini Tanzania. Nimeona nchi kama Zimbabwe na Malawi wanatumia sasa sijajua huko nyumbani iko vipi?
1.Ufungwaji wa Dish
- Uimara wa sehemu ilipofungwa
- Fundi amefungaje je kama huyu
- Fundi alitumia signal finder? (kifaa cha kutafuta signal)
- kwenye dish (lnb) tundu inayofungwa cable inayopeleka signal kwenye king'amuzi imefunikwa ili maji yasiingie n.k?
2.Cable kama imeungwa (ilikuwa...
Kwa wafuatiliaji wa tamthilia ya NYAVU kwenye dstv , huyo mrembo FIFI kabarikiwa trakooo hadi limemzidi akitembea. Hivi anatumia jina gani mtandaoni ? yaani hapa hakuna cha Uwoya wala Lulu , dogo yuko vizurii sema inaonekana kakosa matunzo tuu
Habari Ndugu nina Shida, Najaribu kutumia DSTV NOW ila inaniambia this Item is not available in your Region. Nimejaribu kutumia VPN ya Tanzania bila mafanikio. Nitumie njia gani ili niweze kuwa natazama DSTV now nikiwa Ughaibuni?. Asante.
Bado mnatukera wateja wenu!hasa katika kipindi ambacho ligi zimesimama lakini wateja tumelipia bill kama kawaida huku tukiangalia vipindi vinavyo boa hata kutazama na watoto havina burudani yoyote!kwanini msitujali wateja kwa kurusha bundesliga live???Tuliolipia decorder kipindi hiki cha corona...
Mnajua fika nyie ni kampuni pendwa lakini mmekalia ukoloni na unyonyaji kwa Watanzania. Hivi kinachowafanya msiweke local chanels zote za Tanzania ni nini? Kama ITV, CLOUDS, STAR TV n.k mbona hazipo? Nimejaribu kuweka na redio za tanzania tena Nikiwa nimelipia dstv compact Hakuna Redio station...
Wateja wenu wanapitia hali nguvu kiafya na kiuchumi, hebu punguzeni kidogo bei za vifurushi Kama sehemu ya kuungana na wateja wenu kwenye hili.
Hii ni pamoja na makampuni ya simu za mikononi kwakuwa wateja wenu inawabiti kufanyakazi wakiwa majumbani kupitia simu au Internet.
Msijifanye Kama...
Huwa najiuliza sana, ni kwa nini DStv wanajaza sana matangazo kwenye channels zake zote, wakati kila mwezi tunalipia vifurushi vyao? \
Au tunalipia ili tuangalie matangazo?
Kuna tatizo lolote kati ya RT na DSTV?
Kama hakuna tatizo naomba mimi Kama mteja mtuwekee na vipindi kutoka Urusi, sisi wengine ni wapenzi wa habari za kimataifa, pia hupenda kufanya ulinganifu wa taarifa.
Kwa bahati nzuri DStv mnarusha habari za dunia kupitia CNN,BBC,DW,FRANCE, na TV nyingine...
DStv inaonyesha ligi ya England, EPL. Samatta kuchezea EPL kutaongeza watanzania ambao wataangalia EPL kwaajili ya kumuona kijana wao Samatat. Hii itaongeza wadau wa DStv, hivyo huu ni muda wa DStv kuangalia upya bei za vifurushi vyake ili watu wengi zaidi hata vijijini wamudu kulipia na...
Kwa ukweli kuna sera zingine za kibiashara zinakera sana, mfano DStv unakuta wanataka malipo ya kifurushi cha mwezi wakati unakuta kwa mwezi mtu anapata muda wa kuangalia TV mara mbili au tatu.
Sasa kwanini kusiwe na kifurushi cha siku, wiki na mwezi kulingana na mtumiaji atahitaji kifurushi...
Toka jana mchana visimbuzi au visimbusi? vya Azam na DStv vimegoma. Message ni ya aina moja. Smart Card haijakaa vizuri.
Sijui kama kuna wengine wamepata tatizo hili na ufumbuzi wake umekuwaje.
Habari wakuu?,I hope you do good.
Diamond platnumz leo wakati wa kutambulisha watangazaji wapya wa vipindi vya michezo pale Wasafi HQs.
Mbele ya wageni waalikwa na mgeni rasmi waziri wa michezo Mh, Dkt.Mwakyembe.
Ametangaza kuwa ndani siku chache zijazo yaani 3, Wasafi TV itakuwa inaonekana...
Niko Mbeya
Imetumika mwezi mmoja tu,ipo katika hali nzuri sana bado ina upya wake,ichukue kwa Tsh. 85,000 tu ,maelewano yapo nicheki kwa 0767142928
Utapata dstv decoder,remote yake,dish lake,waya wa dish kwenda kwenye decoder,hdmi cable,nuts na bolts
Kwa Wasomaji wa Kiswahili
DSTV Tanzania Kushusha Bei ya Vifurushi Kuanzia Tarehe 1 Septemba 2019
Bei mpya za vifurushi vya DTSV vitakuwa ni:
Jina la Kifurushi
Idadi ya Chaneli
Bei ya Zamani
Bei Mpya
Bomba
45+
19,000
19,000
Family
57+
39,000
29,000
Compact
90+
69,000
44,000
Compact...
Ningependa niwatakie heri ya sikukuu za Christmas na mwaka mpya wadau wote wa Jamii forums, najua wengi wetu tutakuwa tumejumuika na familia zetu, basi ningependa ofa hii ambayo naweza nikasema sawa na bure isikupite.
Kama utakuwa mfuatiliaji wa threads zangu ni kwamba hapo awali niliorodhesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.